MBAKI-MTEULE
Member
- Feb 13, 2015
- 8
- 0
samahani wadau nilitaka kujua utofauti kati ya clinical medicine na clinical officer.
kwasababu vyuo vingi ukiseach for clinical officer but ukija kuangalia course za hicho chuo unakuta clinical medicine ko naomba ufafanuzi kwa anaye jua utofauti wake wadau