Utofauti kati ya kumbukumbu zinazohifadhiwa kwenye ubongo(Brain) na kumbukumbu zinazohifadhiwa na akili (Mind)

Hapo umeelezea akili Kwa kutumia reference ya lugha ya kiarabu, vipi kuhusu lugha ya kingereza 'Mind'. Hebu tufafanulie na hapa pia kwa kutumia reference. Karibu mkuu
Labda sijalielewa vizuri kwamba nimetumia kiarabu??
 
Mkuu naona umechanganya madesa sana..
Umetumia imani na sayansi kwa pamoja mkanganyiko ndio ukawa mkubwa zaidi.
Na ukitaka kujua hujui hujazielezea hizo terms zako mf. akili, intellect, roho.
roho sio soul jmn, roho ni sprit.
Baadhi ya wanasayansi wanaamin subconcious ndio roho wewe naona umetumia zote.
Ungezielezea ungeelewa vizuri ulicho andika.
 
Mkanganyiko unaendelea.
Unajua unachokiandika kweli!?
nafsi ndio roho spirit ndio soul, nashindwa kuamini kama unajua unachoandika
na maana uliyokusudia kuitoa kama vinaendana.
Lakini pia kama umetumia concept ya roho kuwa kwenye ubongo,
basi weka wazi subconcious ndio roho kama wanavyodai wanasayansi wengi au lah! kama ulivyo
kusudia kumaanisha.
Sababu naona umetaja subconcious na roho kwa pamoja kumaanisha ni vitu tofauti.
 
Bado mkanganyiko unaendelea.
Juu umeeleza roho imeganyika katika mind nk. ,
Kwenye maelezo yako ya chini unadai roho ndio subconcious mind.
 
Mind pia haihusiki kutofatisha lipi baya na lipi zuri bali intellect inafanya hivo.
Ukiwa umelala unaweza kuchukulia serious kila kitu kwa sababu hata intellect inakuwa down.
Unaweza kuota hata una mabawa na uka amini kwenye ndoto.
Roho (Soul) imegawanyika katika sehemu tatu ambazo ni Mind, Intellect na Impression. Mind ndio inahusika kwenye kufikiria, hasa kwenye kutambua lipi baya na lipi zuri. Kwenye Mind kuna kitu kinaitwa Subconcious Mind hii ndio sehemu kuu ya Roho (Soul) ambayo kazi yake ni kurekodi shughuli zetu za kila siku ziwe za kimwili au kiroho.
 
Sawa intellect inafanya nini?
 
Unaposema kufikiria unamaanisha nini?
Thought zinatokea wapi?
 
Umepotelea wap, hiyo intellect umeandika mwenyewe itakuwa ajabu kama
hujui inamaana gan na kazi yake.
 
Hope leo utakuja na majibu yanayoeleweka kwa ulicho andika.
Mkuu huu ni uzi wangu na siwezi kuutelekeza hata kwanini.

Kwanza kabisa tambua dhana ya jukwaa hili JF ni kwamba tunapashana habari na masuala pia ni kwamba mimi ninapoleta mada hapa haimaanishi naelewa kuliko waote humu bali naleta wengine wasome kisha watoe michango yao ikiwemo kukosoa na kurekebisha pale kwenye makosa. Ndio maana kuna sehemu ya kukoment.

Sasa mkuu hapa hatupo kumtafuta nani anajua zaidi ya mwingine na nani hajui!
Hivyo Basi kama unaona mada Yangu kuna sehemu inamakosa basi onyesha wapi kuna kosa kisha sahihisha kwa kuweka jibu sahihi as INTELLECTUAL na sio kunirushia mawe kwamba nimekosea hapa ila huweki kike unachofahamu✌️
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…