Waminyato
JF-Expert Member
- Jun 22, 2022
- 2,197
- 4,525
Ushabakwa mara ngapi?Me mbakaji
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ushabakwa mara ngapi?Me mbakaji
Facts...Mashabiki wa hizi timu kubwa mbili hapa Tanzania wanatofautiana katika maeneo haya;
1.Timu inapofanya vibaya iwe wachezaji hawajitumi au kocha anazingua, Mashabiki wa Simba huwa wakali hata kuwarushia chupa wachezaji wao, mashabiki wa Yanga huwa wanatafuta hata kitu kdg kizuri wanakikuza na kujifariji na hicho.
2.Mashabiki wa Simba wameshaona kama vile timu yao haishiriki ligi kuu ya NBC wanaumia zaid wakifungwa klabu bingwa kuliko kufungwa hata na Ihefu, tofauti na mashabiki wa Yanga.
3.Mashabiki wa Yanga wapo na timu yao wakat wowote kwa muda wote, mashabiki wa Simba sio wavumilivu sana kweny magumu
4.Mashabiki wa Yanga ni wabunifu sana kweny staili za kushangilia kuliko Mashabiki wa Simba na ndo maana mashabiki wa Yanga wana majina makubwa na kujulikana kuliko wale wa Simba
5.Ni rahis sana kuwadanganya na kuwapumbaza mashabiki wa Yanga, na ndo maana hata wakitolewa kweny mashindano au kufungwa, Viongozi wao hutumia propaganda rahis sana nao husahau mapema, hii ni tofaut na Simba, rejea mwaka Simba anatolewa na Ud songo.
6.Viongozi na wachezaji wa Simba wanawaogopa sana mashabiki wao kuliko Viongozi na wachezaji wa Yanga, Wachezaji wa Yanga wamerelax sana, hawana hofu ya mashabiki
7.Mashabiki wa Yanga wananunua na kuvaa sana Jersey zao kuliko mashabiki wa Simba
8.Mashabiki wengi vijana wa Yanga ni wapambanaji tu mtaani, Mashabiki wengi vijana wa Simba ni wa Kishua.
Makolo wengi ni mashog.a chunguza hata humu jfNdio hawa wanojielewaView attachment 2397095
Aione SAGAI GALGANO kwa ajili ya kutolea ufafanuzi zaidi.Ndio hawa wanojielewaView attachment 2397095
Tupo pamoja mkuu 🤝2 na 8, kama kweli hivii Washabiki wa simba sio hard fun ila wanaipenda Simba sana kama mm, nakuaga km sina timu ila ni Simba, na sibishanagi ishu za simba na yanga...never, kwa nadra sana.
Unazungumzia makolo na utopolo?Mashabiki wa hizi timu kubwa mbili hapa Tanzania wanatofautiana katika maeneo haya;
1.Timu inapofanya vibaya iwe wachezaji hawajitumi au kocha anazingua, Mashabiki wa Simba huwa wakali hata kuwarushia chupa wachezaji wao, mashabiki wa Yanga huwa wanatafuta hata kitu kdg kizuri wanakikuza na kujifariji na hicho.
2.Mashabiki wa Simba wameshaona kama vile timu yao haishiriki ligi kuu ya NBC wanaumia zaid wakifungwa klabu bingwa kuliko kufungwa hata na Ihefu, tofauti na mashabiki wa Yanga.
3.Mashabiki wa Yanga wapo na timu yao wakat wowote kwa muda wote, mashabiki wa Simba sio wavumilivu sana kweny magumu
4.Mashabiki wa Yanga ni wabunifu sana kweny staili za kushangilia kuliko Mashabiki wa Simba na ndo maana mashabiki wa Yanga wana majina makubwa na kujulikana kuliko wale wa Simba
5.Ni rahis sana kuwadanganya na kuwapumbaza mashabiki wa Yanga, na ndo maana hata wakitolewa kweny mashindano au kufungwa, Viongozi wao hutumia propaganda rahis sana nao husahau mapema, hii ni tofaut na Simba, rejea mwaka Simba anatolewa na Ud songo.
6.Viongozi na wachezaji wa Simba wanawaogopa sana mashabiki wao kuliko Viongozi na wachezaji wa Yanga, Wachezaji wa Yanga wamerelax sana, hawana hofu ya mashabiki
7.Mashabiki wa Yanga wananunua na kuvaa sana Jersey zao kuliko mashabiki wa Simba
8.Mashabiki wengi vijana wa Yanga ni wapambanaji tu mtaani, Mashabiki wengi vijana wa Simba ni wa Kishua.
Timu inashabikiwa naTimu inashabikiwa na
Jumalokole
Wema sepetu
Irene uwoya
Nk.hawana walijualo kuhusu kandanda zaidi ya Haji manara.