Utofauti kati ya mashabiki wa Simba na Yanga

Facts...

nyongeza : Mashabiki wa simba wana jaziba na wapo kwenye kung'oa viti kwa mujibu wa tafiti za kisayansi kutoka chuo cha Oxford uingereza. Shabiki mmoja wa simba anaweza kung'oa viti saba ndani ya sec 30
 
Yanga wengi uelewa mdogo kichwani hata ukiangalia hoja zao. Wengi wakishindwa hoja wanakimbilia matusi ya nguoni
 
Hapa kwenye washabiki kufanya Yanga kujulikana sio kweli..labda humuhumu mikoani ila kwa kimataifa hapana.
Ubunifu wa ushangiliaji pia kwa Yanga siyo kweli..cheki ile ya vitochi vya simu ni ubunifu wa mashabiki wa Simba.
 
Hilo la kusema mashabiki wa Yanga ni rahisi sana kurubuniwa kwa propaganda za kipuuzi ni kweli. Maana wakitolewa huko klabu bingwa Africa au mambo yakienda kombo tu, Manara anawadanganya kuwa TFF inawahujumu mara sijui serikali etc.. sababu hazina mashiko kabisa
 
2 na 8, kama kweli hivii Washabiki wa simba sio hard fun ila wanaipenda Simba sana kama mm, nakuaga km sina timu ila ni Simba, na sibishanagi ishu za simba na yanga...never, kwa nadra sana.
Tupo pamoja mkuu 🤝
 
Unazungumzia makolo na utopolo?
 
Mashabiki wa Yanga ni weledi zaidi kuliko wa simba ndiyo maana hata timu ya Yanga ikifungwa hata na simba huwezi kusikia wakiwaporomoshea viongozi wao matusi, ni wavumilivu sana na hutoa ushauri zaidi kuliko lawama.

Juzi simba kufungwa na Young Africans watu wamepotomosha matusi huko mtandao mpaka unashangaa akili zao, nenda kurasa ya try again maskini ameogopa hata kupita.

Yanga timu ilifanya vibaya mashabiki wanaungana na viongozi, simba wao wanatokana viongozi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…