stabilityman
JF-Expert Member
- Jul 9, 2024
- 259
- 483
UTOFAUTI KATI YA MASTER BEDROOM NA SELF BEDROOM.
SELF BEDROOM
Ina ukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda cha futi 5 kuingia
✴️Meza moja na kiti kimoja au Viwili
✴️ Kabati la nguo
Pia inakuwa na Choo chenye shower na system ya Choo Tu, na haina dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 15.
MASTER BEDROOM
Inaukubwa ambao unaruhusu:-
✴️Kitanda chenye ukubwa Wa futi 6 kikiwa na droo zake Mbili za pembeni pamoja na side bedsofa.
✴️Kuweka screen chumbani
✴️Kuweka Kochi la watu wawili na Meza yake.
✴️Kuweka Kabati la nguo na mambo mengine.
✴️Kuweka Meza na kiti Kwa ajili ya mambo ya kiofisi au kikazi ukiwa nyumbani
Pia inakuwa choo na shower, jacuzzi na system ya Choo pamoja na dressing room.
Ukubwa wake Mdogo ni square metres 20.
Kwa lugha nyepesi
Master bedroom ni chumba cha mwenye nyumba
KARIBU WHATSAPP INBOX KWA USHAURI, RAMANI, UJENZI NA TATHIMINI YA VIFAA VYA UJENZI.
Nipigie 0743257669
WhatsApp inbox:
TUPO UKONGA Dsm- TANZANIA.
Karibu