Utofauti kati ya ujinga na upumbavu

Utofauti kati ya ujinga na upumbavu

Simon Henry

Member
Joined
May 16, 2019
Posts
8
Reaction score
15
Mtu mjinga ni yule ambae amekoswa maarifa kuhusu jambo ,neno au tendo fulani .
Lakini mtuhuyu anaweza kufundishwa na akaelewa na hata kubadilika

Lakini mtu mpumbavu ni yule ambae hajui kama hajui wala hataki kujua wala kuelewa kwamba hajui kwahio hawezi badilika hata kama akiipata elimu hio

Comment 👇 kama unalolote la kuongezea
 
Mpumbavu pia ni yule anaye fanya jambo baya au lenye madhara huku akijua mpumbavu ufanya vitu kwa makusudi
 
TAFAKURI YA TBC HABARI YA LEO , 09/JULY/2019.....

dah jamaa tbc , wapo creative sana ..
..as i know

ujinga ni ile hali ya kutokujua kitu mpaka ufundishwe au madhara yatokee ndipo utaelewa/juwa kuwa jambo flan ni hamna na jinsi ya kuliepuka.
 
UPUMBAVU .
ni hle hali ya kutokujua kitu mpaka uelekezwe , au unajua hali/kitu hicho na madhara yake (mabaya/mazuri) na bado kinaendekezwa /kufanywa/kutendwa ingawaje mtendaji anafahamu fika kwamba lina (side effects )
 
Mjinga ni mtu asiyefahamu kitu fulani
Mpumbavu ni mtu anaefahamu madhara ya kitu kibaya na akaendelea kukifanya
 
Mmmmh!Ni kweli kabisa ila sijui mantiki HALISI ya yote yaliyotajwa hapo juu ni yapi!. Anyway "1 Wakorintho15:1-2".
 
Back
Top Bottom