Utofauti kati ya Wivu na Chuki

Utofauti kati ya Wivu na Chuki

DR HAYA LAND

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2017
Posts
23,928
Reaction score
63,499
WIVU - ni kutamani walichonacho wenzio.

CHUKI - chuki nikutamani walichonacho wenzio na kutaka wao wasipate Ila upate wewe.

MTU mwenye wivu anasumbuliwa na tatizo la scarcity mindset.

Ila MTU mwenye chuki anasumbuliwa na Poor self-worth

Hivyo MTU mwenye chuki ni hatari Sana kuliko hata MTU mwenye wivu.
 
DR. Tunatokaje sasa kwenye hilo dimbwi la wivu na chuki 🤔

Kuhusu wivu unabidi kufahamu kuwa mafanikio au vitu vizuri ni kwa ajili ya watu na kila MTU anastahili kupata

Hivyo ukishaamini kuwa mafanikio kila mtu kwa juhudi zake na wakati anaweza kupata ,,utaanza kutoka ktk hali ya uhaba (scarcity mindset) na utaingia katika utoshelevu Abundance mindset na mambo yataanza kukaa sawa na kuiua wivu.

Ukiishinda Wivu utakuwa umeishinda chuki.

Na njia bora ni kufurahia pale wenzio wanapofanikiwa kupata kitu wapongeze na kuwa na subra kwa kuamini muda na nyakati sahihi na wewe utapata.

If GOD did something big to someone else he certainly can do even to you.
 
Back
Top Bottom