Utofauti na Ufanano wa Yanga na Simba kwa Sasa

Bado ni mapema Sana kusifia na kulaumu baadhi ya timu. Tuvute subira isije fika mahala tukazikana nyuzi zetu.
 
Simba IMESAJILI HOVYO, muambiwe nini Muelewe?????

Simba Ina Takribani MICHEZO 60 MSIMU Huu 2023-2024

Kwa KIKOSI walichonacho SIDHANI kama watafanya Jambo lolote la Maana .

Tujiandae kisaikolojia Kwa Power Dynamo.
 
Kaizer Chief je?
 
Mbona haujamaliza kutaja timu zote walizocheza na Yanga?
Vs Kaizer chief kafungwa goi moja
Vs Azam kafungwa goli mbili
Vs Simba wametoka sare
Elezea vizuri na hii sare uwanja uliinama upande wa Simba kwa dakika zote 90.
 
Umri nao tatizo, Yanga vijana Makolo vizee.
 
Yanga wanajituma Sana kuliko Simba hiyo ndio silaha yao kubwa. Simba wanacheza kifaza Sana.
Na huu ndio utabaki kuwa ukweli. Mashabiki wa Simba tusinyamaze. Zama za kocha kupangiwa kikosi kuwa fulani lazima acheze na hata akichoka hakuna kutoka linatuumiza sana mashabiki.
 
Kusema kweli simba tunacheza kibishoo sana, at least akiwepo kibu denis (hata kama hafungi) ila huwa analeta amsha amsha sana. Ila sisi mashambulizi tupo slow sana. Hatujitumi

Yanga hizi mechi chache wamecheza wanakamia balaa, hata ile game tumecheza nayo walitukamia sana.
 
Na huu ndio utabaki kuwa ukweli. Mashabiki wa Simba tusinyamaze. Zama za kocha kupangiwa kikosi kuwa fulani lazima acheze na hata akichoka hakuna kutoka linatuumiza sana mashabiki.
Mashabiki ndio mnasababisha haya, kipindi Phili ana kaa bench mka anza kelele, Chama akitolewa mnapiga kelele, eti kocha aingie kwenye mfumo wa Chama
 
Umri nao tatizo, Yanga vijana Makolo vizee.
Shida inaanzia hapo ila makolo awalijui hilo wamekariri kwenye majina,miaka 10 sasa wao uwambii kitu kwa kapombe na zimbwe,angalia ile rotation ya kule mbele ya Yanga max,aziz ki na pacome bado vijana damu inachemka,na bado gamond uwa awachezeshi dk 90 kila match kuna atakaepumzika au kuingia sub au kucheza half 1 na kutoka sub,makolo mtu kama saidoo 45 yrs old anacheza dk 90 na kila match
 
Utofauti unaanzia hapa wewe shabiki wa Simba wa kuunga unga wa Simba
 
Mashabiki ndio mnasababisha haya, kipindi Phili ana kaa bench mka anza kelele, Chama akitolewa mnapiga kelele, eti kocha aingie kwenye mfumo wa Chama
Sikukatalii mkuu, hata sisi mashabiki tuna tatizo na nisehemu pia ya kuifanya Simba isiwe vile inavyotakiwa kuwa pamoja na kuwa na brand kubwa Africa.
 
Kmc ni ya abbas tarimba ambaye ni yanga kindaki ndaki na wale wengine hawana hata kwao kile sio kipimo sahihi ngoja inyeshe tuone panapovuja
 
Simba wazuri, tujipe muda japo yanga ni kisanga pia
 
Mbona haujamaliza kutaja timu zote walizocheza na Yanga?
Vs Kaizer chief kafungwa goi moja
Vs Azam kafungwa goli mbili
Vs Simba wametoka sare
Acha uongo wa mchana Simba alikupa kipigo kitakatifu
 
Kwa imani waliyonayo mashabiki wa Yanga baada ya mechi mbili, huu mwaka utakuwa mgumu Sana kwao
 
Hivi Yanga kucheza Hadi Fainali shirikisho kweli sio Kipimo Bora Cha ukubwa wa Timu . Timu ya machizi kama Simba inaweza kweli kufika Fainali yoyote Hali ya kuwa hata ya FA inawashinda..
Kweli we ni Mbururaaaaaah na ni Shabiki maandazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…