This is...
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 5,050
- 5,204
- Thread starter
- #21
Akili za Dp world hizi. Unasubiri mambo yakichacha Mara oooh kocha hafai. Upuuzi kiwango Cha phdUpuuzi
Huu Ni mwanzo wa ligi na hatujapoteza bado.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akili za Dp world hizi. Unasubiri mambo yakichacha Mara oooh kocha hafai. Upuuzi kiwango Cha phdUpuuzi
Kaizer Chief je?Kwa mechi gani za maana walizocheza Yanga hadi mje hapa kutoa hizo sababu uchwara,,? Kmc walioponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita, Jkt waliopanda daraja msimu huu ama Asas wa Djibouti sio kipimo sahihi kwa ukubwa Yanga,, hizo mechi bado hazitoshi kusema chochote. Kuweni na subira
Elezea vizuri na hii sare uwanja uliinama upande wa Simba kwa dakika zote 90.Mbona haujamaliza kutaja timu zote walizocheza na Yanga?
Vs Kaizer chief kafungwa goi moja
Vs Azam kafungwa goli mbili
Vs Simba wametoka sare
Umri nao tatizo, Yanga vijana Makolo vizee.Timu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora.
Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote kuhakikisha timu inashinda na hata kulazimisha ushindi. Wanatoka jasho hasa.
Simba morali ipo chini Sana. Ipo chini mno.
Nb:
KINACHOISAIDIA YANGA KUWA HIVYO. Kocha anafanya rotation ya wachezaji. Wote Ni bora na angalao wengi wanapata game time. Inawajengea kujiamini na kuzidi kuwa bora.
Mechi unaona kabisa chama au Tshabalala kachoka lkn hakuna sub.
Tinho kakariri kikosi.
(Mimi Ni shabiki wa Simba na mkitaka mniue lkn lazima ukweli usemwe mapema ili mwishoni tusishikane mashati wakati ubingwa ushaota mbawa )
Yanga wanajituma Sana kuliko Simba hiyo ndio silaha yao kubwa. Simba wanacheza kifaza Sana.
Na huu ndio utabaki kuwa ukweli. Mashabiki wa Simba tusinyamaze. Zama za kocha kupangiwa kikosi kuwa fulani lazima acheze na hata akichoka hakuna kutoka linatuumiza sana mashabiki.Timu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora.
Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote kuhakikisha timu inashinda na hata kulazimisha ushindi. Wanatoka jasho hasa.
Simba morali ipo chini Sana. Ipo chini mno.
Nb:
KINACHOISAIDIA YANGA KUWA HIVYO. Kocha anafanya rotation ya wachezaji. Wote Ni bora na angalao wengi wanapata game time. Inawajengea kujiamini na kuzidi kuwa bora.
Mechi unaona kabisa chama au Tshabalala kachoka lkn hakuna sub.
Tinho kakariri kikosi.
(Mimi Ni shabiki wa Simba na mkitaka mniue lkn lazima ukweli usemwe mapema ili mwishoni tusishikane mashati wakati ubingwa ushaota mbawa )
Mashabiki ndio mnasababisha haya, kipindi Phili ana kaa bench mka anza kelele, Chama akitolewa mnapiga kelele, eti kocha aingie kwenye mfumo wa ChamaNa huu ndio utabaki kuwa ukweli. Mashabiki wa Simba tusinyamaze. Zama za kocha kupangiwa kikosi kuwa fulani lazima acheze na hata akichoka hakuna kutoka linatuumiza sana mashabiki.
Shida inaanzia hapo ila makolo awalijui hilo wamekariri kwenye majina,miaka 10 sasa wao uwambii kitu kwa kapombe na zimbwe,angalia ile rotation ya kule mbele ya Yanga max,aziz ki na pacome bado vijana damu inachemka,na bado gamond uwa awachezeshi dk 90 kila match kuna atakaepumzika au kuingia sub au kucheza half 1 na kutoka sub,makolo mtu kama saidoo 45 yrs old anacheza dk 90 na kila matchUmri nao tatizo, Yanga vijana Makolo vizee.
Hilo limepita ila kinachoendelea sasa ni hikiUtofauti unaanzia hapa wewe shabiki wa Simba wa kuunga unga wa SimbaView attachment 2735565
Ngoja tuone hao mabwana watatu nani ata surrender na kuachia point.Hilo limepita ila kinachoendelea sasa ni hiki
Sikukatalii mkuu, hata sisi mashabiki tuna tatizo na nisehemu pia ya kuifanya Simba isiwe vile inavyotakiwa kuwa pamoja na kuwa na brand kubwa Africa.Mashabiki ndio mnasababisha haya, kipindi Phili ana kaa bench mka anza kelele, Chama akitolewa mnapiga kelele, eti kocha aingie kwenye mfumo wa Chama
Kmc ni ya abbas tarimba ambaye ni yanga kindaki ndaki na wale wengine hawana hata kwao kile sio kipimo sahihi ngoja inyeshe tuone panapovujaKwa mechi gani za maana walizocheza Yanga hadi mje hapa kutoa hizo sababu uchwara,,? Kmc walioponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita, Jkt waliopanda daraja msimu huu ama Asas wa Djibouti sio kipimo sahihi kwa ukubwa Yanga,, hizo mechi bado hazitoshi kusema chochote. Kuweni na subira
Simba wazuri, tujipe muda japo yanga ni kisanga piaTimu zote zimefanya usajili mzuri , hivyo Zina vikosi vyenye wachezaji bora.
Tofauti Ni Moja tu na kubwa kwa hizi timu kwa Sasa. Yanga wanacheza kwa kujituma na kujitoa kwa asilimia zote kuhakikisha timu inashinda na hata kulazimisha ushindi. Wanatoka jasho hasa.
Simba morali ipo chini Sana. Ipo chini mno.
Nb:
KINACHOISAIDIA YANGA KUWA HIVYO. Kocha anafanya rotation ya wachezaji. Wote Ni bora na angalao wengi wanapata game time. Inawajengea kujiamini na kuzidi kuwa bora.
Mechi unaona kabisa chama au Tshabalala kachoka lkn hakuna sub.
Tinho kakariri kikosi.
(Mimi Ni shabiki wa Simba na mkitaka mniue lkn lazima ukweli usemwe mapema ili mwishoni tusishikane mashati wakati ubingwa ushaota mbawa )
Acha uongo wa mchana Simba alikupa kipigo kitakatifuMbona haujamaliza kutaja timu zote walizocheza na Yanga?
Vs Kaizer chief kafungwa goi moja
Vs Azam kafungwa goli mbili
Vs Simba wametoka sare
Kwa imani waliyonayo mashabiki wa Yanga baada ya mechi mbili, huu mwaka utakuwa mgumu Sana kwao
Hivi Yanga kucheza Hadi Fainali shirikisho kweli sio Kipimo Bora Cha ukubwa wa Timu . Timu ya machizi kama Simba inaweza kweli kufika Fainali yoyote Hali ya kuwa hata ya FA inawashinda..Kwa mechi gani za maana walizocheza Yanga hadi mje hapa kutoa hizo sababu uchwara,,? Kmc walioponea chupuchupu kushuka daraja msimu uliopita, Jkt waliopanda daraja msimu huu ama Asas wa Djibouti sio kipimo sahihi kwa ukubwa Yanga,, hizo mechi bado hazitoshi kusema chochote. Kuweni na subira