dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,134
Habarini wanajukwaa kuna vitu vinanitatiza kuhusu wanasayansi na Maphilosophy wa zamani Yaan Kipindi Kile cha Dawrn, Na wengineo na wanasayasi wa sasa Ukifatilia History Za wanasayansi wa zaman Kuna vitu vingi wameweza Kugundua Kama Ndege, Simu, Meli Na vinginevyo Lakini Kwa Miaka Hii (present) vitu hivyo vimefanywa kuwa More advanced Compared Na Miaka Ya Nyuma Ilipogunduliwa.
Swali Langu Ni wapi Ndo Bora Na walio au wanaoumiza Vichwa Zaidi Na kwann? Ni kwel Hakuna Kitu Kipya Kitakacho weza Kugunduliwa Kwa Sasa Zaidi Ya Kuongezea tu Kutokana Na vile Vya Zaman kwann?
Nini Kinachosabisha utofauti wawanasayansi wa zaman Na wasasa Katika Kuvumbua Mambo?
Asante Ningepnda Kukaribisha Michango Yenu