Utofauti uliopo kati ya wanasayansi wa sasa na wazamani

Lengo la wanasayansi wazamani ndio hiki kinachoendelezwa na hawa wa sasa.wao walitutoa step moja na hawa wa sasa wanatupeleka hatua nyingine..Kumbuka tafiti/"gunduzi"/"vumbuzi" nyingi zilizofanywa zamani zililenga kurahisisha maisha ya mwanadamu kwa namna moja ama nyingine..Kadri muda unavyokwenda "urahisi/uboreshwaji" huu ndio unapotoshwa na wanasayansi wa sasa kuonekana kama si bora ukilinganisha na wa awali..

Mkuu mi nakuunga mkono 100%, upo sahihi kabisa.
 
Habarini wanajukwaaKuna vitu vinanitatiza kuhusu wanasayansi na Maphilosph wa zaman Yaan Kipindi Kile cha Dawrn,Na wngineo na wanasayas wa sasaUkifatilia History Za wanasayans wa zaman Kuna vitu vingi wameweza Kugundua Kama Ndege, Simu, Meli Na vinginevyo Lakini Kwa Miaka Hii(present) vitu hivyo vimefanywa kuwa More advanced Compared Na Miaka Ya Nyuma Ilipogunduliwa.

Swali Langu Niwapi Ndo Bora Na walio au wanao umizwa Vichwa Zaidi Na kwann? Ni kwel Hakuna Kitu Kipya Kitakacho weza Kugunduliwa Kwa Sasa Zaidi Ya Kuongezea tu Kutokana Na vile Vya Zaman kwann?Nini Kinachosabisha utofauti wawanasayansi wazaman Na wasasa Katika Kuvumbua Mambo? Asante Ningepnda Kukaribisha Michango Yenu

Kuna standard scientific frame ambayo "in a way" inadirect uvumbuzi ujenge, usaidie, uendane na kile kilichokuwepo au kile chenye manufaa kwa humanity (Scientific innovation apart from invention). Hii frame imekuwa na nguvu zaidi hivyo uhuru wa kufanya makosa (error) ambao pia unamchango mkubwa katika kugundua kitu kipya kabisa usiwe kama zamani. Mfano Wright brothers walivumbua first human flight. Hii kwa umuhimu wake katika usafiri inawaweka katika ramani kwa muda mrefu sana kwa kuwa ingawa dege la sasa lile latest lina mkusanyiko wa technolojia elfu zenye wavumbunzi tofauti lakini bado nafasi ya wright brothers inabakia pale pale kama wavumbuzi wa kwanza. Sasa kwa mvumbuzi wa "jet engine" ambayo ilikuwa ni mapinduzi katika teknolojia ya engines bado matumizi yake yalipata umaarufu katika kuchangia kuadvance kwa "human flights".

Alexander Graham bell uvumbuzi wake wa simu ile ya mwanzo baada ya miaka mia moja unaweza fall into obsucurity kwa nini? Kwa sasa ingawa bado tunaita technolojia hii ya mawasiliano "simu" tayari smart phones ni mbali sana na simu ya Graham Bell. Hatuwapi credits zinazotakiwa wavumbuzi wachangiaji wa hapa tulipofikia kwa kuwa wamelazimishwa kufuata frame ili kile alichovumbua Graham Bell kwa kuwa kilileta manufaa basi si budi kiendelezwe zaidi na zaidi. Ukiajiriwa katika science project, madhumuni ya scientific explorations, experiments and goals yanawekwa clear and as a scientist you are obliged to follow the protocols (often). Kwa wale independent scientists wanaweza kuweka miaka mingi katika kutafiti kitu fulani lakini kama utatifi huu hauoneshi "contribution" au hauleti faida mpya pale tu unapotangazwa basi kwa sasa ni ngumu zaidi kupata heshima na msaada.

Wakati umeme unagunduliwa wala hakukuwa na mawazo kwamba utaendesha Dunia na kuwa tegemeo kubwa kama ilivyo sasa. Besides, kuna tafiti kadhaa za zamani ambazo wavumbuzi wake walijifanyia out of curiosity na hawakuwa na proper justification as one you might need now. Historia ya sauti katika motion pictures (Films) inaanzia miaka ya 1900 huko Ufaransa. I read one book kwamba wakati tekinolojia ile ya kuweka sauti katika film kuna kiongozi mmoja alishangaa kwa nini hawa watu wanapoteza muda wao creating "talkies" or talking pictures. Aliuliza "Who would want to hear these funny guys talking?" Wakati huo picha zilikuwa black and white zenye kupita kwa kasi na watu walionekana kama wanakimbia kimbia. Leo hii naweza kusema Nani anataka movie isiyo na sauti. Too bad I cant remember the name of the guy/guys behind the innovation of films to make them becoming "talking pictures" but I can recall the earlier pioneers of camera like Gemma Frisius and Eduardo Martinville who invented acoustical sound recording device which was later on advanced to playback the recorded sound by Charles Cros.

Lastly, Ni nini unamaanisha kwa kusema wanasayansi wa zamani na wa sasa? Galileo amezaliwa 1564 wakati Albert Einstein amezaliwa 1879. Je hapo unamaanisha Einstein ni wa sasa na Galilei ni wa zamani au wote hao ni wa zamani? Gap la miaka lililopo hapo katika yao ni zaidi ya lile lililopo kati ya Einsten na lets say Peter Higgs. Hii pia ni iko hivyo kwa gap la miaka la Newton na Eistein, wakati Newton kazaliwa 1642, Eistein ni wa 1879 hivyo Newton yuko mbali zaidi na Eistein kuliko Stephen Hawking alivyo kwa Eistein.
 
Zama hizo kulikuwa hakuna kitu kwa hiyo ugunduzi ni muhimu. Sasa hivi karibia vingi vishaguduliwa kinachobaki ni kuboresha tu. Kugundua ni kujua kitu ambacho tayari kilikuwepo lakini hukujua kama kipo. Kuvumbua ni kutengeneza kitu kwa mara ya kwanza ambacho hakikuwepo popopote pale. sasa hivi hakutafutwi tena kugundua au kuvumbua sasa hivi watu wanatafuta kujua zaidi.

Mojawapo ya vitu vilivyobaki na vinavyofanyiwa kazi ni kuzuia aptosis (programmed cell death) ili binadamu aishi milele!
 
Kuna standard scientific frame ambayo "in a way" inadirect uvumbuzi ujenge, usaidie, uendane na kile kilichokuwepo au kile chenye manufaa kwa humanity (Scientific innovation apart from invention). Hii frame imekuwa na nguvu zaidi hivyo uhuru wa kufanya makosa (error) ambao pia unamchango mkubwa katika kugundua kitu kipya kabisa usiwe kama zamani. Mfano Wright brothers walivumbua first human flight. Hii kwa umuhimu wake katika usafiri inawaweka katika ramani kwa muda mrefu sana kwa kuwa ingawa dege la sasa lile latest lina mkusanyiko wa technolojia elfu zenye wavumbunzi tofauti lakini bado nafasi ya wright brothers inabakia pale pale kama wavumbuzi wa kwanza. Sasa kwa mvumbuzi wa "jet engine" ambayo ilikuwa ni mapinduzi katika teknolojia ya engines bado matumizi yake yalipata umaarufu katika kuchangia kuadvance kwa "human flights".

Alexander Graham bell uvumbuzi wake wa simu ile ya mwanzo baada ya miaka mia moja unaweza fall into obsucurity kwa nini? Kwa sasa ingawa bado tunaita technolojia hii ya mawasiliano "simu" tayari smart phones ni mbali sana na simu ya Graham Bell. Hatuwapi credits zinazotakiwa wavumbuzi wachangiaji wa hapa tulipofikia kwa kuwa wamelazimishwa kufuata frame ili kile alichovumbua Graham Bell kwa kuwa kilileta manufaa basi si budi kiendelezwe zaidi na zaidi. Ukiajiriwa katika science project, madhumuni ya scientific explorations, experiments and goals yanawekwa clear and as a scientist you are obliged to follow the protocols (often). Kwa wale independent scientists wanaweza kuweka miaka mingi katika kutafiti kitu fulani lakini kama utatifi huu hauoneshi "contribution" au hauleti faida mpya pale tu unapotangazwa basi kwa sasa ni ngumu zaidi kupata heshima na msaada.

Wakati umeme unagunduliwa wala hakukuwa na mawazo kwamba utaendesha Dunia na kuwa tegemeo kubwa kama ilivyo sasa. Besides, kuna tafiti kadhaa za zamani ambazo wavumbuzi wake walijifanyia out of curiosity na hawakuwa na proper justification as one you might need now. Historia ya sauti katika motion pictures (Films) inaanzia miaka ya 1900 huko Ufaransa. I read one book kwamba wakati tekinolojia ile ya kuweka sauti katika film kuna kiongozi mmoja alishangaa kwa nini hawa watu wanapoteza muda wao creating "talkies" or talking pictures. Aliuliza "Who would want to hear these funny guys talking?" Wakati huo picha zilikuwa black and white zenye kupita kwa kasi na watu walionekana kama wanakimbia kimbia. Leo hii naweza kusema Nani anataka movie isiyo na sauti. Too bad I cant remember the name of the guy/guys behind the innovation of films to make them becoming "talking pictures" but I can recall the earlier pioneers of camera like Gemma Frisius and Eduardo Martinville who invented acoustical sound recording device which was later on advanced to playback the recorded sound by Charles Cros.

Lastly, Ni nini unamaanisha kwa kusema wanasayansi wa zamani na wa sasa? Galileo amezaliwa 1564 wakati Albert Einstein amezaliwa 1879. Je hapo unamaanisha Einstein ni wa sasa na Galilei ni wa zamani au wote hao ni wa zamani? Gap la miaka lililopo hapo katika yao ni zaidi ya lile lililopo kati ya Einsten na lets say Peter Higgs. Hii pia ni iko hivyo kwa gap la miaka la Newton na Eistein, wakati Newton kazaliwa 1642, Eistein ni wa 1879 hivyo Newton yuko mbali zaidi na Eistein kuliko Stephen Hawking alivyo kwa Eistein.

We ni mkali sasa vp hii sayansi ya kuluka na ungo, nafikili ndio wakati wake sasa wanasayansi wadadavue hapa mafomula, halafu iwekwe hazalani nafikili ndio vitu vilivyo baki bado kuvumbuliwa ,embu fikili unataka kufika koogwe one time unachukua ungo wako una apply formular koogwe hii hapa ,au unasemaje mkali
 
Nimecheka kidogo, bahati mbaya "formula" hizo zinaweza kuwa ni hadithi za mapokeo na wala hazijaanza leo, imani za kupaa kwa kutumia uchawi zina historia ndefu kuliko sayansi. Je unadhani huu ni wakati wake? Ni imani na mazingaombwe. Kuna watu wanasomea mambo hayo (magicians). Ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine ila si sayansi.
 
Suala la specialization nadhani ndio linadumaza uwezo wa kufikiri mambo katika nyanja tofautitofauti. Wanasayansi wazamani walikuwa wanaweza kujishughulisha na stadi mbalimbali kama vile mathematics, chemistry, physics, biology, philosophy, geography, history n.k zote kwa pamoja. Tofauti na sasahivi mtu anajishulisha na stadi moja zikizidi sana mbili au tatu. Matokeo yake yanaweza kuwa kama mfano ufutao:
Mtu akiamua kuspecialize na stadi ya physics peke yake nikukubali kuwa mjinga wa stadi nyingine kama bios, chem, phil, hist, geo n.k
Kama mtu ataspecialise fani ya utabibu nikukubali ujinga wa fani nyingine kama uingeneer ama machinist n.k
NB. The way you specialise the way you become ignorant.

Suala lingine ni kuwa moja kati madhara makubwa yanaytokana na science & technology ni kucreate mental lazyness(uvivu au upeo mdogo wa kufikiri)
Kwamfano wanasayansi wa zamani katika stadi ya hesabu/hisabati walikuwa wanatumia zaidi vichwa vyao kuliko zana nyingine yoyote katika mahesabu. Lakini sasa hivi watu tunatumia zana kama vile calculator(kikokotozi), 4 figure, computer n.k katika kufanya mahesabu.
Mwisho niseme tu faida za sayansi na teknnojia siku za leo ni nyingi kuliko madhara na madhara hayo baadhi yanaweza kuzuilika.
Na kuhusu ufumbuzi/ugunduzi mpya nadhani upo lakini kwa kiwango kikubwa ni kufanya modifications of the ancient technogies in sense that; science are the laws or principles that govern the nature. And techology stands as applications of scientific discoveries. Therefore technogy is a product of science & technogy as product of science, it used to improve science(to create a good environment of science). Thats why nowdays we actually do innovations than enventions of science and technology.

you deserve credit.Ni ukweli ambao kama tukiuzungumza sana ukaeleweka utaokoa ulimwengu kwenye mambo mengi sana.
ulimwengu ni system ambayo vilivyomo ndani yake vinategemea kwa kiasi kikubwa sana.
Kitendo cha kusambaratisha systems na kuweka vipande vipande visivyona mwingiliano huku tukiamini tunawndelea ukweli ni kwamba tunaendelea kwenye uharibifu zaidi kuliko kwenye manufaa...
Global warming ni moja ya mfano mzuri wa matokeo ya kutokutumika kwa mpangilio mzuri vile vinavyounda mfumo mzima wa ulimwengu.
mfano wa elimu bora ni pale ambapo kwa kadri ya inavyowezekana mifumo yote ndani ya mada iliyopo kwenye ulimwengu itafitiwe kwa pamoja ili kubalansi.
unapotafiti kuhusu mti (mfano) ni vema upate tafsiri ya nini kinaufanya mti uwe mti,ni budi kuangalia udongo ambapo mti upo,hewa,maji,viumbe wengine ambao mti husika ndiyo tegemeo lao nk nk. lakini utafiti wa mti pasipo viambata vyake unashusha hadhi ya mti kiasi ambacho binadam hawi na uelewa wa kutosha juu ya madhara makubwa kwa mazingira na mifumo mingine kwa kukata mti mmoja tu.
kama maelezo ya naxon zamani wanasayansi walijikita kutafiti juu ya mazingira yanayowazunguka kwa mapana yake sio kuangalia vitu (matter) pekee.
 
Last edited by a moderator:
kwanza hongera kwa kujiuluza maswali kama hayo kama mwana-intelijensia wa hapa jamvini
pili kabla hatujaenda mbali ningependa nikupe homework, katafute utofauti wa maneno hayo mawili "KUGUNDUA na KUVUMBUA" kwani naona umeyatumia bila mipangilio
kwa upande wangu naweza kusema kuwa enzi za akina COPERNICUS, GALILEO, NEWTON, KEPLER, DA VINCI, FARADAY N.K. walikua na mavichwa manene mno(fikiria sana) tofauti na sasahivi ambapo mabadiliko makubwa ya ki-teknolojia yamechukua nafasi, hii inamaanisha kuwa zamani watu walikua na mambo machache ubongoni na idea ngumu kumeza zilikuwa nyingi za kutosha kwahiyo hata ku-concentrate kwenye jambo moja ilikua rahisi tofauti na sasa,
sasahivi mambo mengi sana yamerahisishwa sana kwahiyo inakuwa ngumu kidogo kwa baadhi ya watu kuumiza medulla zetu kwani karbu kila kitu kipo in a simple way
kitu pekee ambacho kina sababisha huo utofauti wa wanasayansi wa kale na wasasa hapa duniani ni ubongo pekee
mf.
miracles zote zilizofanywa na wright brothers, Henry ford, Thomas Edison, Einstein, Faraday n.k.(the list goes on and on) zilianzia ubongoni na baadae zikawa observed physically, zamani kulikuwa hakuna idea za revolution of a planet earth around the sun mpaka pale Copernicus alipokuja na theory zake
i'm not going to accept your conclusion kwamba hakuna kitakachoweza kugunduliwa because you cant predict the future
Cc. Monstgala, kiranga, Dreson4, Eiyer,Ishmael, Mkwesya Makambo, Mkuu wa chuo, sibertech, D'revis, na wengineo wooooote

.made in mby city.
Unatutisha tu na maandishi mekundu huna chochote ulichodadavua bora ungekaa kimya.
 
samahani mkuu kwa hilo la maandishi nimekwisha edit Post yangu (post #1 ) c ya wino mwekundu tena
.
mkuu nazani maada umeiona vyema ukiachana na Post yangu
vp una-mchango gani katika maada kuu ?
karibu

.made in mby city.
 
kwanza hongera kwa kujiuluza maswali kama hayo kama mwana-intelijensia wa hapa jamvini
pili kabla hatujaenda mbali ningependa nikupe homework, katafute utofauti wa maneno hayo mawili "KUGUNDUA na KUVUMBUA" kwani naona umeyatumia bila mipangilio
kwa upande wangu naweza kusema kuwa enzi za akina COPERNICUS, GALILEO, NEWTON, KEPLER, DA VINCI, FARADAY N.K. walikua na mavichwa manene mno(fikiria sana) tofauti na sasahivi ambapo mabadiliko makubwa ya ki-teknolojia yamechukua nafasi, hii inamaanisha kuwa zamani watu walikua na mambo machache ubongoni na idea ngumu kumeza zilikuwa nyingi za kutosha kwahiyo hata ku-concentrate kwenye jambo moja ilikua rahisi tofauti na sasa,
sasahivi mambo mengi sana yamerahisishwa sana kwahiyo inakuwa ngumu kidogo kwa baadhi ya watu kuumiza medulla zetu kwani karbu kila kitu kipo in a simple way
kitu pekee ambacho kina sababisha huo utofauti wa wanasayansi wa kale na wasasa hapa duniani ni ubongo pekee
mf.
miracles zote zilizofanywa na wright brothers, Henry ford, Thomas Edison, Einstein, Faraday n.k.(the list goes on and on) zilianzia ubongoni na baadae zikawa observed physically, zamani kulikuwa hakuna idea za revolution of a planet earth around the sun mpaka pale Copernicus alipokuja na theory zake
i'm not going to accept your conclusion kwamba hakuna kitakachoweza kugunduliwa because you cant predict the future
Cc. Monstgala, Kiranga, Dreson4, Eiyer Ishmael, mkwesya Makambo, Mkuu wa chuo, @sibertech, @D'revis, na wengineo wooooote

.made in mby city.
According to the one of the scientist, J Koebler, human beings are becoming dumb and dumber.

Are Humans Losing Their Smarts?

Dumb and Dumber: Study Says Humans Are Slowly Losing Their Smarts - US News
 
Nionavyo mimi ni vigumu kusema kwa sababu hatuna kipimo halisi cha kulinganisha. Nachelea kusema kama kungelikuwa na kipimo chakupima rate ya mabadiliko ya kuvumbua au ugunduzi kwa old scientist na scientist wa sasa I would say dynamically is constant.The reason ni kwa sababu nature ya kuquestion(what, why,when,how, who, which) ni ile ile kwa zama zote.To adress just one question some time is not enough e.g.why a ball is bounce when hit an object is not enough therefore one would like to know what is happening when a ball is bouncing. Kwa mfano Newton aliishia to kusema the gravitational force between two objects is inversely propotional to square of the distance between objects(The theory of gravitational)-this is how old scientist approaches the problem of gravitational. Hapa utaona bado hailezi jinsi gani gravitational works. Lakini in modern science , the general relativity explain more how gravity works in space and time .Tofauti ni kwamba ukuwaji wa technology unawapa advantage scientist wa sasa kwenye gunduzi zao. Kiukweli bado kunagunduzi nyingi tu zinaendelea na zitaendelea kwa sababu ndiyo nature ya mwanadamu ilivyo.
 
Could it be, labda kila kitu ambacho tunahitaji kimesha gunduliwa ndio maana tunaona upungufu na au kupungua kwa ugunduzi? Ingawa, kwenye morden science bado wanatumia theorems za zamani, lakini wamefanikiwa ku update technology nakufanya mambo mengi kuwa rahisi.
 
Unamanisha nini kusema wanatumia tu theorem na kuboresha technolojia ? Wanatumia theory zilizogunduliwa na wanavumbua theories nyingine.
 
hata Hawa wanasayansi wa sasa wanafanya mambo makubwa mathalani ukiangalia upande wa simu za mkononi mpaka kumi iliyopita enzi za Nokia torch mpaka hapana tulipo kwenye android symbilisi, lollipop, kit kat etc
 
Amina Mtumishi, Yesu apewe Sifa na anaendelea Kushinda kila Siku. Hakika kuna Raha ya Ajabu ukiwa na Yesu.

na anashinda kweli-kweli
wachache tulio ndani ya YESU ndio tunaoweza kuona ile raha ya kweli
.
tuendelee kuwaombea na wengine wakaribie ndugu mtumishi

.made in mby city.
 
Unamanisha nini kusema wanatumia tu theorem na kuboresha technolojia ? Wanatumia theory zilizogunduliwa na wanavumbua theories nyingine.
What are the new scientific theorems? Can you mention some?
 
na anashinda kweli-kweli
wachache tulio ndani ya YESU ndio tunaoweza kuona ile raha ya kweli
.
tuendelee kuwaombea na wengine wakaribie ndugu mtumishi

.made in mby city.
Amina Mtumishi, tupo pamoja na Yesu atawaokoa wengi sana Mwaka huu.
 
Back
Top Bottom