Utofauti uliopo kati ya wanasayansi wa sasa na wazamani


Mkuu mi nakuunga mkono 100%, upo sahihi kabisa.
 

Kuna standard scientific frame ambayo "in a way" inadirect uvumbuzi ujenge, usaidie, uendane na kile kilichokuwepo au kile chenye manufaa kwa humanity (Scientific innovation apart from invention). Hii frame imekuwa na nguvu zaidi hivyo uhuru wa kufanya makosa (error) ambao pia unamchango mkubwa katika kugundua kitu kipya kabisa usiwe kama zamani. Mfano Wright brothers walivumbua first human flight. Hii kwa umuhimu wake katika usafiri inawaweka katika ramani kwa muda mrefu sana kwa kuwa ingawa dege la sasa lile latest lina mkusanyiko wa technolojia elfu zenye wavumbunzi tofauti lakini bado nafasi ya wright brothers inabakia pale pale kama wavumbuzi wa kwanza. Sasa kwa mvumbuzi wa "jet engine" ambayo ilikuwa ni mapinduzi katika teknolojia ya engines bado matumizi yake yalipata umaarufu katika kuchangia kuadvance kwa "human flights".

Alexander Graham bell uvumbuzi wake wa simu ile ya mwanzo baada ya miaka mia moja unaweza fall into obsucurity kwa nini? Kwa sasa ingawa bado tunaita technolojia hii ya mawasiliano "simu" tayari smart phones ni mbali sana na simu ya Graham Bell. Hatuwapi credits zinazotakiwa wavumbuzi wachangiaji wa hapa tulipofikia kwa kuwa wamelazimishwa kufuata frame ili kile alichovumbua Graham Bell kwa kuwa kilileta manufaa basi si budi kiendelezwe zaidi na zaidi. Ukiajiriwa katika science project, madhumuni ya scientific explorations, experiments and goals yanawekwa clear and as a scientist you are obliged to follow the protocols (often). Kwa wale independent scientists wanaweza kuweka miaka mingi katika kutafiti kitu fulani lakini kama utatifi huu hauoneshi "contribution" au hauleti faida mpya pale tu unapotangazwa basi kwa sasa ni ngumu zaidi kupata heshima na msaada.

Wakati umeme unagunduliwa wala hakukuwa na mawazo kwamba utaendesha Dunia na kuwa tegemeo kubwa kama ilivyo sasa. Besides, kuna tafiti kadhaa za zamani ambazo wavumbuzi wake walijifanyia out of curiosity na hawakuwa na proper justification as one you might need now. Historia ya sauti katika motion pictures (Films) inaanzia miaka ya 1900 huko Ufaransa. I read one book kwamba wakati tekinolojia ile ya kuweka sauti katika film kuna kiongozi mmoja alishangaa kwa nini hawa watu wanapoteza muda wao creating "talkies" or talking pictures. Aliuliza "Who would want to hear these funny guys talking?" Wakati huo picha zilikuwa black and white zenye kupita kwa kasi na watu walionekana kama wanakimbia kimbia. Leo hii naweza kusema Nani anataka movie isiyo na sauti. Too bad I cant remember the name of the guy/guys behind the innovation of films to make them becoming "talking pictures" but I can recall the earlier pioneers of camera like Gemma Frisius and Eduardo Martinville who invented acoustical sound recording device which was later on advanced to playback the recorded sound by Charles Cros.

Lastly, Ni nini unamaanisha kwa kusema wanasayansi wa zamani na wa sasa? Galileo amezaliwa 1564 wakati Albert Einstein amezaliwa 1879. Je hapo unamaanisha Einstein ni wa sasa na Galilei ni wa zamani au wote hao ni wa zamani? Gap la miaka lililopo hapo katika yao ni zaidi ya lile lililopo kati ya Einsten na lets say Peter Higgs. Hii pia ni iko hivyo kwa gap la miaka la Newton na Eistein, wakati Newton kazaliwa 1642, Eistein ni wa 1879 hivyo Newton yuko mbali zaidi na Eistein kuliko Stephen Hawking alivyo kwa Eistein.
 

Mojawapo ya vitu vilivyobaki na vinavyofanyiwa kazi ni kuzuia aptosis (programmed cell death) ili binadamu aishi milele!
 

We ni mkali sasa vp hii sayansi ya kuluka na ungo, nafikili ndio wakati wake sasa wanasayansi wadadavue hapa mafomula, halafu iwekwe hazalani nafikili ndio vitu vilivyo baki bado kuvumbuliwa ,embu fikili unataka kufika koogwe one time unachukua ungo wako una apply formular koogwe hii hapa ,au unasemaje mkali
 

Nimecheka kidogo, bahati mbaya "formula" hizo zinaweza kuwa ni hadithi za mapokeo na wala hazijaanza leo, imani za kupaa kwa kutumia uchawi zina historia ndefu kuliko sayansi. Je unadhani huu ni wakati wake? Ni imani na mazingaombwe. Kuna watu wanasomea mambo hayo (magicians). Ni sanaa kama zilivyo sanaa nyingine ila si sayansi.
 

you deserve credit.Ni ukweli ambao kama tukiuzungumza sana ukaeleweka utaokoa ulimwengu kwenye mambo mengi sana.
ulimwengu ni system ambayo vilivyomo ndani yake vinategemea kwa kiasi kikubwa sana.
Kitendo cha kusambaratisha systems na kuweka vipande vipande visivyona mwingiliano huku tukiamini tunawndelea ukweli ni kwamba tunaendelea kwenye uharibifu zaidi kuliko kwenye manufaa...
Global warming ni moja ya mfano mzuri wa matokeo ya kutokutumika kwa mpangilio mzuri vile vinavyounda mfumo mzima wa ulimwengu.
mfano wa elimu bora ni pale ambapo kwa kadri ya inavyowezekana mifumo yote ndani ya mada iliyopo kwenye ulimwengu itafitiwe kwa pamoja ili kubalansi.
unapotafiti kuhusu mti (mfano) ni vema upate tafsiri ya nini kinaufanya mti uwe mti,ni budi kuangalia udongo ambapo mti upo,hewa,maji,viumbe wengine ambao mti husika ndiyo tegemeo lao nk nk. lakini utafiti wa mti pasipo viambata vyake unashusha hadhi ya mti kiasi ambacho binadam hawi na uelewa wa kutosha juu ya madhara makubwa kwa mazingira na mifumo mingine kwa kukata mti mmoja tu.
kama maelezo ya naxon zamani wanasayansi walijikita kutafiti juu ya mazingira yanayowazunguka kwa mapana yake sio kuangalia vitu (matter) pekee.
 
Last edited by a moderator:
Unatutisha tu na maandishi mekundu huna chochote ulichodadavua bora ungekaa kimya.
 
Unatutisha tu na maandishi mekundu huna chochote ulichodadavua bora ungekaa kimya.

samahani mkuu kwa hilo la maandishi nimekwisha edit Post yangu (post #1 ) c ya wino mwekundu tena
.
mkuu nazani maada umeiona vyema ukiachana na Post yangu
vp una-mchango gani katika maada kuu ?
karibu

.made in mby city.
 
According to the one of the scientist, J Koebler, human beings are becoming dumb and dumber.

Are Humans Losing Their Smarts?

Dumb and Dumber: Study Says Humans Are Slowly Losing Their Smarts - US News
 
According to the one of the scientist, J Koebler, human beings are becoming dumb and dumber.

Are Humans Losing Their Smarts?

Dumb and Dumber: Study Says Humans Are Slowly Losing Their Smarts - US News

Nionavyo mimi ni vigumu kusema kwa sababu hatuna kipimo halisi cha kulinganisha. Nachelea kusema kama kungelikuwa na kipimo chakupima rate ya mabadiliko ya kuvumbua au ugunduzi kwa old scientist na scientist wa sasa I would say dynamically is constant.The reason ni kwa sababu nature ya kuquestion(what, why,when,how, who, which) ni ile ile kwa zama zote.To adress just one question some time is not enough e.g.why a ball is bounce when hit an object is not enough therefore one would like to know what is happening when a ball is bouncing. Kwa mfano Newton aliishia to kusema the gravitational force between two objects is inversely propotional to square of the distance between objects(The theory of gravitational)-this is how old scientist approaches the problem of gravitational. Hapa utaona bado hailezi jinsi gani gravitational works. Lakini in modern science , the general relativity explain more how gravity works in space and time .Tofauti ni kwamba ukuwaji wa technology unawapa advantage scientist wa sasa kwenye gunduzi zao. Kiukweli bado kunagunduzi nyingi tu zinaendelea na zitaendelea kwa sababu ndiyo nature ya mwanadamu ilivyo.
 
Could it be, labda kila kitu ambacho tunahitaji kimesha gunduliwa ndio maana tunaona upungufu na au kupungua kwa ugunduzi? Ingawa, kwenye morden science bado wanatumia theorems za zamani, lakini wamefanikiwa ku update technology nakufanya mambo mengi kuwa rahisi.
 

Unamanisha nini kusema wanatumia tu theorem na kuboresha technolojia ? Wanatumia theory zilizogunduliwa na wanavumbua theories nyingine.
 
hata Hawa wanasayansi wa sasa wanafanya mambo makubwa mathalani ukiangalia upande wa simu za mkononi mpaka kumi iliyopita enzi za Nokia torch mpaka hapana tulipo kwenye android symbilisi, lollipop, kit kat etc
 
Amina Mtumishi, Yesu apewe Sifa na anaendelea Kushinda kila Siku. Hakika kuna Raha ya Ajabu ukiwa na Yesu.

na anashinda kweli-kweli
wachache tulio ndani ya YESU ndio tunaoweza kuona ile raha ya kweli
.
tuendelee kuwaombea na wengine wakaribie ndugu mtumishi

.made in mby city.
 
Unamanisha nini kusema wanatumia tu theorem na kuboresha technolojia ? Wanatumia theory zilizogunduliwa na wanavumbua theories nyingine.
What are the new scientific theorems? Can you mention some?
 
na anashinda kweli-kweli
wachache tulio ndani ya YESU ndio tunaoweza kuona ile raha ya kweli
.
tuendelee kuwaombea na wengine wakaribie ndugu mtumishi

.made in mby city.
Amina Mtumishi, tupo pamoja na Yesu atawaokoa wengi sana Mwaka huu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…