Utofauti uliopo kati ya wanasayansi wa sasa na wazamani

QE is not a new theorem while String theorem was first studies in the 1960's.

Depends on your frame of reference. It takes very long time to come up with such big theories therefore between 19 to 20 Century they are new. But if you think for a period of five years then they are not and you will never get them I am sorry.
 
Namuona Thomas Edison wapi Nikola Tesla
 
Last edited by a moderator:
ni kweli wanasayansi wa sasa wamerahisixha vitu vingi na kuviboresha lakini pamoja na kufanya hivyo me naona kuwa athari zinazotokea kutokana na vi2 ambavyo wamegundua ni kubwa ukilinganisha na wanasayansi wa zamani (old scientist).!
 
ni kweli wanasayansi wa sasa wamerahisixha vitu vingi na kuviboresha lakini pamoja na kufanya hivyo me naona kuwa athari zinazotokea kutokana na vi2 ambavyo wamegundua ni kubwa ukilinganisha na wanasayansi wa zamani (old scientist).!

jaribu kutoa na mifano mkuu Anold S

.made in mby city.
 
Last edited by a moderator:
Science ni sasa bna , Newton anazaliwa anakuta hakuna mtu yoyote aliendika juu ya gravity field watu wanai ona na wana experience hii gravity ila hawakuiandika, bado ana state laws zake tatu za motion easly Kabisa, Albert Einstein ana imagine madude kama black holes,photo electricity tuna pata solar panel,Photocell na relays, Albert anasema E=mc2 , Gilbert william anaandika makala juu ya uwepo wa umeme na kuipa nguvu hii jina la electricity miaka 1500 anaeleza kidogo mno mwanaume Nikola Tesla anasuka Alternator, Ac motor,Ac lamps sambamba Transformers anarusha mawimbi kwa njia ya radio, Aisee Leonard da vinci anachora mchoro wa Helicopter tuu full kumwagiwa credit mara ndo mgunduzi mara nini Wright Brother wanatulia na kusuka first protype Fly machine
 
Wanasayansi wa sasa ni wanahistoria kuanzia hesabu zote ni historia, physics ni historia chemistry ni histori ila wanajalibu kuongezea nyama historia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…