Utofauti wa iphone na simu za Android


Yeah...umemaliza
 
HAPO UKIENDA KWANZA WAITOA HIYO PASSCODE KISHA WANAKUCHEKIA KAMA INA ICLOUD, KAMA HAINA UNA KUWA UMEKULA BINGO
nabwateja wanaotumia iphone huku icloud iko wazi,hata 1% ya watumiaji wa iphone hawafiki.

uzuri wa hizi simu siku hizi hata kama hujui icloud ni kitu gani,itakichokonoa mpala utajua tu.
 
Privacy and Security kwenye iPhone ni bora kuliko simu yoyote ya Android
 
iOS gani inawezekana fanya hivyo maana kuna $ 1m ambayo iliahidiwa na Apple kwa atakayeweza cheza na iCloud toka mwaka jana mwanzoni na hamna aliyeweza chukua hiyo hela mpaka leo...
 
iOS gani inawezekana fanya hivyo maana kuna $ 1m ambayo iliahidiwa na Apple kwa atakayeweza cheza na iCloud toka mwaka jana mwanzoni na hamna aliyeweza chukua hiyo hela mpaka leo...
Umeaom vizuri conversation mkuu? Hakuna nilipoongelea iCloud
 
Mkuu yangu password ya icloud ninayo ila nimesahau mchanganyiko wake wa herufi nilivyoweka unaweza kunisaidia tafadhali maana sikumbuki herufi ndogo nilisevu vp


Sent using Jamii Forums mobile app

Ukiwa una create iCloud account mbali na password huwa kuna maswali yakujibu kama matatu hivi, kama unakumbuka hata moja tu utakua umepata pa kuanzia kwasababu watakupa hints zitakazo kusaidia kukumbuka password yako.



Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Storage za IPhone ni maalumu kwa kupakua mavitu ya store yao tu hahaha ,unapewa GB 128 internal storage hafu huwezi Transfer files from PC, Ku Download baadh ya vitu huwezi si ufala huo.. Hafu wana jikinga kwenye kivuli cha security FAKI

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Unaongea unachokijua au ulicho simuliwa?


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
MKUU UTOFAUTI MKUBWA UKO KWENYE SECURITY YA IPHONEs.HUKU UNA UHAKIKA WA 100% DATA ZAKO KUWA SALAMA.

PIA IPHONE INA HADHI YAKE MZAZI UKIITOA KWENYE DALADALA KILA MMOJA MACHO KWAKO
Eti kwenye Daladala, Mawazo ya kitumwa na show off za kipimbi
 
HUYU HAJAWAHI HATA KUTUMIA IPHONE, NA KAMA KATUMIA BASI HAJUI KUTUMIA IPHONE NA HAPO ALIPO HAJUI HATA ITUNES INA KAZI GANI
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…