Badu
JF-Expert Member
- Jun 2, 2012
- 407
- 106
Ila bado mzungu atakuwa na akili mingi mzee. [emoji16][emoji16][emoji16]
Sent using amfifiro
Utofauti wake kama normal user uko kwenye user experience. Yani mfumo wa uendeshaji wa iphone iOS ni tofauti na android kimpangilio na kimwonekano.
Kuhusu storage capacity haijalishi iwe android au iphone ni sawa. Kama mwafrika ana 72kg na mzungu ana 72kg wote wana uzito sawa japo kuwa ni races mbili tofauti
Sent using amfifiro