KiwandaniTz
Member
- Jan 8, 2019
- 44
- 38
asante sana mkuu, nilifikiri labda ya biashara ni ghari sanaHamna tofauti units ni hizo hizo inategemea na speed ya maji.
Hizi za biashara madukani hardwires wanauza 25000 hadi 20000 zipo nyingi tuu usomaji ni huo huoasante sana mkuu, nilifikiri labda ya biashara ni ghari sana
maana idara ya maji wanasema nibadili jina la mita kuwa ya biasharaHizi za biashara madukani hardwires wanauza 25000 hadi 20000 zipo nyingi tuu usomaji ni huo huo
Watakuchaji nyingi kwanza sidhani kama inaruhusiwa kuuza haya ya dawasa labda maji ya kisima chako ulichochimba na kama ni kisima chako kuna mita zinauzwa madukani kama mteja unampelekea maji kwake hiyo mita ndii unamfungia haiusiani na ile ya dawasamaana idara ya maji wanasema nibadili jina la mita kuwa ya biashara