Utofauti wa Rwanda na Tanzania

Utofauti wa Rwanda na Tanzania

Sisi hadi tutakapoacha siasa uchwala ndo mambo yataenda.
Siasa uchwara zinahusika vipi na wewe kutupa taka ovyo?

Tujifunzeni kuwajibika kabla ya kuanza kuwalaumu viongozi kwa mambo tunayoweza kucontrol sisi wenyewe.
 
Wazo tu ukubwa wa Rwanda ni sawa na dsm ni vyema ukaifananisha Rwanda na dsm ipi ambayo kimadhari kimonekan kiusalam kiusafi na huduma za jamii.
Maana siku hiz Rwanda Rwanda kam vip hamia uko tu
Usikimbie ukweli kwa hoja dhaifu km hii.
 
Juzi kati nimepanda daladala kuna dada akawa anakula machungwa anatupa dirishani nikamwambia sio vizuri anavyofanya ni bora ayatupe ndani ya gari ili wakifanya usafi wakayaweke panapostahili

Huwezi amini yule dada alinishambulia kwa maneno makali tena abiria wengine karibia gari zima wakimuunga mkono

Tena akaniambia km unajiona msafi sana kaishi ulaya

Kwa kifupi mindset zetu pamoja na viongozi tushakubali kuwa uchafu ni sehemu ya maisha yetu na hakuna wa kubadilisha hilo.
 
Tutakua na matatizo ya kiroho sisi...watu wachafu na hawajali..haya mambo yanaanzia kwenye familia....Usafi hasa wa mazingira ni indicator moja kubwa ya ustaarabu...na uwezo wa akili
 
Unaposema Tanzania kwa usafi wakati Rwanda kwa Tanzania ni kama Wilaya ulishawahi kufika Kilimanjaro ukapaona vizuri usafi unatokana na wakazi unaweza kufanisha wakazi waliopo Tanzania nzima na waliopo Rwanda na gharama za usafi za majiji zitakuwa ni sawa
 
Back
Top Bottom