GUSSIE
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 3,880
- 11,134
Nikiwa hapa uwanja wa kasarani Kenya kama mmoja wa watu wa uangalizi wa uchaguzi toka timu ya Afrika mashariki, Umoja wa Azimio unaongozwa na Raila Odinga unafunga kampeni Katika viwanja hivi vya kasarani
Diamond Platinum kama mwanamuziki maarufu hapa Afrika mashariki ametumbuiza hapa kwa nguvu ya kasi ya 6G kwenye viwanja hivi vya kasarani
Usiniulize swali kuhusu diplomasia yetu, Hapa Kenya anyone can do what he believe is right under Kenya Constitution ndio maana Diamond yupo hapa kasarani Kenya
Kuna utofauti mkubwa sana kati ya siasa za Nairobi na Siasa za Dar es Salaam,
Siasa za Nairobi kwa mara ya kwanza hazina ukabila kabisa kwani wagombea wakuu wa nafasi ya Rais Odinga na Ruto wote sio wakikuyu
Wakikuyu niliojaribu kuwahoji kwa siku kadhaa ambazo Nipo hapa Nairobi wanasema Rais mstaafu Uhuru aliwaahidi mengi lakini hajafanya lolote maeneo yao ya Wakikuyu hivyo Katika uchaguzi huu wanaenda kufanya maamuzi magumu
Siasa za Kenya waandishi wa habari wameruhusiwa kupiga picha kura na masanduku ya kura wakati wote kwa kuweka camera kwenye sehemu ya kupigia kura
Siasa za Nairobi zimeruhusu wagombea kujumlisha kura zao
Mambo ni magumu sana kwenye siasa za Nairobi mwaka huu, Kwani maeneo ya Wakikuyu kwa mara ya kwanza yamekuwa Unpredictable vote areas, Wakikuyu hawana cha kupoteza kwa mara ya kwanza hivyo wamegawanyika kati ya wafuasi wa Odinga na Ruto
Siasa za nyumbani Dar es Salaam zimetawaliwa na hisia za kuibiana kura na kukimbia na masanduku ya kura siku za uchaguzi
Siasa za Dar es Salaam zimetawaliwa na kuzuia makarani kuingia chumba cha kupigia kura
Kikubwa tunamshukuru kiongozi wetu mkuu wa timu ya Afrika mashariki Baba na Mzee wetu Jakaya Mrisho Kikwete kwa ushauri wake na nasaha kwa timu zima ya uangalizi
Nawatakia Nane nane Njema, Hongereni pia kwa uzinduzi wa barabara ya makongorosi chunya aliyoifungua Mama Samia Leo huko Chunya