Different audienceDharau kubwa sana yani..
The Citizen is always very serious, mwananchi sijui nini kinawatokea.. just for the sake of selling
Unajipongeza?We jamaa ulieleta huu uzi ni mtu makini sana
Naunga mkono hoja.Wasomaji ni tofauti mkuu.
Wengi wanaosoma magazeti ya kingereza ni watu wa maofsini, diplomatics, wafanyabiashara wakubwa ambao siku kwa siku wanafuatilia sera mbali mbali za serikali na uchumi unavyoenda.
Kwa upande wa kiswahili tunasoma sisi wananchi wa kawaida tunaojali nani kaamkaje, kiongozi yupi katumbuliwa, mchele au sukari bei imefikia wapi n.k ...
Ni kampuni moja though!!!Dharau kubwa sana yani.
The Citizen is always very serious, mwananchi sijui nini kinawatokea, just for the sake of selling
Nilikuwa niandike hivihvi!Waswahili tunapenda habari za umbea umbea na majungu