Hahahaha nyumbu haoni kunduleHata hapo Ufipa kiti cha Mbowe hakifanani na cha mchungaji Msigwa!
Yaani umefikia level ya Kinuju, Elitwege, Etwege, Kijogoodi, Jingalao nk kujiropokea tumbo la kuhara?Hata hapo Ufipa kiti cha Mbowe hakifanani na cha mchungaji Msigwa!
Hao uliowataja ndio wanamlisha mumeo kule Jela!Yaani umefikia level ya Kinuju, Elitwege, Etwege, Kijogoodi, Jingalao nk kujiropokea tumbo la kuhara?
... ha ha ah! Firigisi ni za baba! Hamruhusiwi kula hadi baba aanze! Mambo ya kale sana hayo!Wababa washamba ndio huwa na vyeti vyao spesho.Hata kuku akichinjwa wanatafutiwa sehemu zao spesho.Viongozi wetu watakuwa wanaiga huu utamaduni kwenye kuongoza nchi.
... mambo ya kale sana! Radio haiguswi na mwingine zaidi ya baba ndiye ataamua msikilize stesheni gani na hata kubadilisha "mawe" ni yeye tu!Kuna kile kiti cha uvivu anakalia baba tu.
Ole wako akute umekifungua na umekalia.
Kidari na paja vya babaWababa washamba ndio huwa na vyeti vyao spesho.Hata kuku akichinjwa wanatafutiwa sehemu zao spesho.Viongozi wetu watakuwa wanaiga huu utamaduni kwenye kuongoza nchi.
Achana na viti anza na magari yao mkuu, hawa ni waporaji wa rasimali za nchiHapa nchini viongozi wote wakubwa huwa wanawekwa viti vya kukalia vyenye utofauti na watendaji au washiriki wengine wanapokuwa katika matukio mbali mbali ya kikazi yanayohitaji vikao.
Ukiingalia kiti cha waziri mkuu au mawaziri wengine wanapokuwa kwenye vikao hivyo na watendaji wao utagundua mara zote vina utofauti na vingine.
Mantiki ya kuweka huu utofauti ni nini, ilianza lini na ina tija gani? Hivi kweli kwenye nchi yenye matatizo lukuki kama hii kuna watu wanalipiwa kufikiria na kufanya kazi kama hizo za kuchagua na kuweka viti vya kipekee kwa baadhi ya viongozi wa serikali?
Ni dharau kubwa kwa wananchiWababa washamba ndio huwa na vyeti vyao spesho.Hata kuku akichinjwa wanatafutiwa sehemu zao spesho.Viongozi wetu watakuwa wanaiga huu utamaduni kwenye kuongoza nchi.
Hakuna huo upumbafu kwetuHata nyumbani kwako kuna kiti cha Baba
Umeshasaini posho yako?Hata hapo Ufipa kiti cha Mbowe hakifanani na cha mchungaji Msigwa!
Mapaka sasa wapo wenye element hizo Mkuu na wengine wamo humuhumu... ha ha ah! Firigisi ni za baba! Hamruhusiwi kula hadi baba aanze! Mambo ya kale sana hayo!
Nipo hapa kwa mama Tarimo nashushia kambege!Umeshasaini posho yako?
Hao ni mashosti zako mnaogombea buku7 hapo kwa yule boss wenu aliyekuwa ameolewa kule Mombasa kisha akaachika.Hao uliowataja ndio wanamlisha mumeo kule Jela!