johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Mmeo analala na muhogo Jela!Hao ni mashosti zako mnaogombea buku7 hapo kwa yule boss wenu aliyekuwa ameolewa kule Mombasa kisha akaachika.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mmeo analala na muhogo Jela!Hao ni mashosti zako mnaogombea buku7 hapo kwa yule boss wenu aliyekuwa ameolewa kule Mombasa kisha akaachika.
Achana na viti anza na magari yao mkuu, hawa ni waporaji wa rasimali za nchi
washamba vipi wewe,unaweza kulala na mama yako kama afanyavyo baba yako??Wababa washamba ndio huwa na vyeti vyao spesho.Hata kuku akichinjwa wanatafutiwa sehemu zao spesho.Viongozi wetu watakuwa wanaiga huu utamaduni kwenye kuongoza nchi.
hiyo ni huko kolomije tu kwa waliostaarabika haya mamila yalishafukiwa sikunyiiingiwashamba vipi wewe,unaweza kulala na mama yako kama afanyavyo baba yako??
nyie watoto msiofunzwa adabu,ndio mmekua hamjui kuna nyama ya baba,kijiko cha baba,kikombe,jembe,hata baiskeri ya baba.
na hakuna mazoea kwa hivyo labda imergency.
Africa imejaa laana tupu mkuuMkuu angalau magari wanaweza kujitetea yanadumu muda mrefu na barabara za vijijini ni mbovu sasa viti sijui hata nini huwa wanapewa vya tofauti na watu wengine!
Viongozi wazito huko kwa wenzetu wanaoutupa misaada hawana haya mambo ya kujimwambafai kabisa.
Najua una mfadhaiko kwa kukosa marinda,kubwa zima unainamishwa.Mmeo analala na muhogo Jela!
Obama alivyokuja bongo alikuja na kiti chake mnamaHizi mambo za maviti ni huku afrika tu ulishawahi kuona wazungu wanazunguka na maviti kama waganga wa kienyeji, akili ndogo tunashida sana hatuwazi mambo ya maana hata kidogo
huo ndio ustaarabu kama hujui.hiyo ni huko kolomije tu kwa waliostaarabika haya
Obama alivyokuja bongo alikuja na kiti chake mnama
Simzungumzii bush hapa namzungumzia Obama alikuja na magar,maji ya kunywa,misos,rada,vioo visivyopitisha risas kwa ajil ya hotel aliyofikia na ndio rais wa kwanza kubadil protokal za uwanja wetu wa ndege kwa kiwango kikubwa upande wa VIPHauna huo ushahidi. Makamba aliwahi kusema wakati Bush anazuru Tanzania alitakiwa kumtafutia kiti na alipata taabu kujua aweke kiti cha aina gani kwa sababu aliambiwa bush hapendi viti virefu vinavyomzidi kimo akiketi kama vya wafalme.
Simzungumzii bush hapa namzungumzia Obama alikuja na magar,maji ya kunywa,misos,rada,vioo visivyopitisha risas kwa ajil ya hotel aliyofikia na ndio rais wa kwanza kubadil protokal za uwanja wetu wa ndege kwa kiwango kikubwa upande wa VIP
Kwel sio sahihSijamzungumzia Rais kwenye huu uzi. Na pia sio sahihi kumfananisha waziri wa TAMISEMI Tanzania na Obama
Hili wazo mlileta nyie UWT?Hata hapo Ufipa kiti cha Mbowe hakifanani na cha mchungaji Msigwa!
Kimsingi ni matumizi mabovu ya mali za ummaHapa nchini viongozi wote wakubwa huwa wanawekwa viti vya kukalia vyenye utofauti na watendaji au washiriki wengine wanapokuwa katika matukio mbali mbali ya kikazi yanayohitaji vikao.
Ukiingalia kiti cha waziri mkuu au mawaziri wengine wanapokuwa kwenye vikao hivyo na watendaji wao utagundua mara zote vina utofauti na vingine.
Mantiki ya kuweka huu utofauti ni nini, ilianza lini na ina tija gani? Hivi kweli kwenye nchi yenye matatizo lukuki kama hii kuna watu wanalipiwa kufikiria na kufanya kazi kama hizo za kuchagua na kuweka viti vya kipekee kwa baadhi ya viongozi wa serikali?
Hii ni kutokana na Ulimbukeni wa madarakaHapa nchini viongozi wote wakubwa huwa wanawekwa viti vya kukalia vyenye utofauti na watendaji au washiriki wengine wanapokuwa katika matukio mbali mbali ya kikazi yanayohitaji vikao.
Ukiingalia kiti cha waziri mkuu au mawaziri wengine wanapokuwa kwenye vikao hivyo na watendaji wao utagundua mara zote vina utofauti na vingine.
Mantiki ya kuweka huu utofauti ni nini, ilianza lini na ina tija gani? Hivi kweli kwenye nchi yenye matatizo lukuki kama hii kuna watu wanalipiwa kufikiria na kufanya kazi kama hizo za kuchagua na kuweka viti vya kipekee kwa baadhi ya viongozi wa serikali?