Utofauti wa viti kwa Waziri Mkuu, Mawaziri, Mameya na Wenyeviti wa Halmashauri una tija gani kwa taifa?

Mkuu angalau magari wanaweza kujitetea yanadumu muda mrefu na barabara za vijijini ni mbovu sasa viti sijui hata nini huwa wanapewa vya tofauti na watu wengine!

Viongozi wazito huko kwa wenzetu wanaoutupa misaada hawana haya mambo ya kujimwambafai kabisa.
Achana na viti anza na magari yao mkuu, hawa ni waporaji wa rasimali za nchi
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hizi mambo za maviti ni huku afrika tu ulishawahi kuona wazungu wanazunguka na maviti kama waganga wa kienyeji, akili ndogo tunashida sana hatuwazi mambo ya maana hata kidogo
 
Wababa washamba ndio huwa na vyeti vyao spesho.Hata kuku akichinjwa wanatafutiwa sehemu zao spesho.Viongozi wetu watakuwa wanaiga huu utamaduni kwenye kuongoza nchi.
washamba vipi wewe,unaweza kulala na mama yako kama afanyavyo baba yako??
nyie watoto msiofunzwa adabu,ndio mmekua hamjui kuna nyama ya baba,kijiko cha baba,kikombe,jembe,hata baiskeri ya baba.

na hakuna mazoea kwa hivyo labda imergency.
 
hiyo ni huko kolomije tu kwa waliostaarabika haya mamila yalishafukiwa sikunyiiingi
 
Africa imejaa laana tupu mkuu
 
Hizi mambo za maviti ni huku afrika tu ulishawahi kuona wazungu wanazunguka na maviti kama waganga wa kienyeji, akili ndogo tunashida sana hatuwazi mambo ya maana hata kidogo
Obama alivyokuja bongo alikuja na kiti chake mnama
 
hiyo ni huko kolomije tu kwa waliostaarabika haya
huo ndio ustaarabu kama hujui.

nguruwe ndiye mtoto hajui mama na baba yake ni wepi,lakini binaadamu timamu anajua mamlaka ya baba.
 
Hauna huo ushahidi. Makamba aliwahi kusema wakati Bush anazuru Tanzania alitakiwa kumtafutia kiti na alipata taabu kujua aweke kiti cha aina gani kwa sababu aliambiwa bush hapendi viti virefu vinavyomzidi kimo akiketi kama vya wafalme.
Obama alivyokuja bongo alikuja na kiti chake mnama
 
Hauna huo ushahidi. Makamba aliwahi kusema wakati Bush anazuru Tanzania alitakiwa kumtafutia kiti na alipata taabu kujua aweke kiti cha aina gani kwa sababu aliambiwa bush hapendi viti virefu vinavyomzidi kimo akiketi kama vya wafalme.
Simzungumzii bush hapa namzungumzia Obama alikuja na magar,maji ya kunywa,misos,rada,vioo visivyopitisha risas kwa ajil ya hotel aliyofikia na ndio rais wa kwanza kubadil protokal za uwanja wetu wa ndege kwa kiwango kikubwa upande wa VIP
 
Sijamzungumzia Rais kwenye huu uzi. Na pia sio sahihi kumfananisha waziri wa TAMISEMI Tanzania na Obama
Simzungumzii bush hapa namzungumzia Obama alikuja na magar,maji ya kunywa,misos,rada,vioo visivyopitisha risas kwa ajil ya hotel aliyofikia na ndio rais wa kwanza kubadil protokal za uwanja wetu wa ndege kwa kiwango kikubwa upande wa VIP
 
Kimsingi ni matumizi mabovu ya mali za umma
 
Hii ni kutokana na Ulimbukeni wa madaraka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…