Utofauti wa viungo wa Simba na Yanga

Utofauti wa viungo wa Simba na Yanga

Utofauti mkubwa ninaoouna uliopo baina ya timu hizi ni:-

1.Yanga inaviungo ambao si wanyumbufu,hawana ubunifu wa kuutoa mpira eneo la katikati nyuma kwenda mbele.

2 .Hawana umiliki mzuri wa mpira tofauti na viungo wa Simba. Viungo wa Yanga wakiwa na mpira mara nyingi huupoteza kirahisi kabsa kabla hata ya kufika eneo la 18 la mpinzani wakati Simba wakiwa na mpira huumiliki kwa mda mrefu,na ubunifu huongezeka kadri wanavyolikaribia goli.

3.Shishimbi anaongoza kupiga basi za ovyo na kupoteza mipira. Huyu ni mchezaji ambaye huwa anakaba kwa juhudi sn lakini tatizo lake kubwa linaloighalimu timu mara nyingi ni kupoteza mpira kirahisi tena akiwa peke ake na kupiga pasi kipofu (Pasi mkaa) tena sehemu muhimu kabsa.

4.Viungo hawana kasi ni wazito sana tofauti na wa Simba ndio maana mpira wao huwa unakosa raha. Simba kila kiungo ana kasi mfano mzuri ni hizi mechi za kirafiki zimeonesha nini namaanisha.

karibuni kwa nyongeza Mlima Kamgomoli
Ushajulika ww ni myama umeongea kishabiki sio kitaalamu
 
Tunaheshimu mawazo yako,unaweza kuwa sahihi japo kwa asilimia chache...
 
Hao wote wawili wako level ya Mzamiru Yasin
Hapo hujawataja MKUDE, CHAMA, KAHATA, DILUNGA, NDEMLA... Kwa season iliyopita Ya HARUNA, KOTEI.
Azam nawakubali kwenye defender za kati na pembeni sio viungo hawa walioshindwa kuipush timu yao hata kuwa wa 2 kwenye TPL mbele ya Yanga iliyokuwa haiko vzr.
Mkude hamna kitu kabisa analindwa na Chama na Kotel Mudathir alipandisha Singida umesahau?
 
Utofauti mkubwa ninaoouna uliopo baina ya timu hizi ni:-

1.Yanga inaviungo ambao si wanyumbufu,hawana ubunifu wa kuutoa mpira eneo la katikati nyuma kwenda mbele.

2 .Hawana umiliki mzuri wa mpira tofauti na viungo wa Simba. Viungo wa Yanga wakiwa na mpira mara nyingi huupoteza kirahisi kabsa kabla hata ya kufika eneo la 18 la mpinzani wakati Simba wakiwa na mpira huumiliki kwa mda mrefu,na ubunifu huongezeka kadri wanavyolikaribia goli.

3.Shishimbi anaongoza kupiga basi za ovyo na kupoteza mipira. Huyu ni mchezaji ambaye huwa anakaba kwa juhudi sn lakini tatizo lake kubwa linaloighalimu timu mara nyingi ni kupoteza mpira kirahisi tena akiwa peke ake na kupiga pasi kipofu (Pasi mkaa) tena sehemu muhimu kabsa.

4.Viungo hawana kasi ni wazito sana tofauti na wa Simba ndio maana mpira wao huwa unakosa raha. Simba kila kiungo ana kasi mfano mzuri ni hizi mechi za kirafiki zimeonesha nini namaanisha.

karibuni kwa nyongeza Mlima Kamgomoli
NGOJA LIGI IANZE, TUTAONESHANA MAKALI TU

YANGA
 
Mkude hamna kitu kabisa analindwa na Chama na Kotel Mudathir alipandisha Singida umesahau?
Hapo Singida Mudathir alicheza mwenyewe?... kwa hiyo Mkude hajaipeleka Simba Robo fainal CAF CL?
Mkude analindwa na Chama + Kotei.. je Kotei + Chama wanalindwa na nani?
Punguza utoto
 
Utofauti mkubwa ninaoouna uliopo baina ya timu hizi ni:-

1.Yanga inaviungo ambao si wanyumbufu,hawana ubunifu wa kuutoa mpira eneo la katikati nyuma kwenda mbele.

2 .Hawana umiliki mzuri wa mpira tofauti na viungo wa Simba. Viungo wa Yanga wakiwa na mpira mara nyingi huupoteza kirahisi kabsa kabla hata ya kufika eneo la 18 la mpinzani wakati Simba wakiwa na mpira huumiliki kwa mda mrefu,na ubunifu huongezeka kadri wanavyolikaribia goli.

3.Shishimbi anaongoza kupiga basi za ovyo na kupoteza mipira. Huyu ni mchezaji ambaye huwa anakaba kwa juhudi sn lakini tatizo lake kubwa linaloighalimu timu mara nyingi ni kupoteza mpira kirahisi tena akiwa peke ake na kupiga pasi kipofu (Pasi mkaa) tena sehemu muhimu kabsa.

4.Viungo hawana kasi ni wazito sana tofauti na wa Simba ndio maana mpira wao huwa unakosa raha. Simba kila kiungo ana kasi mfano mzuri ni hizi mechi za kirafiki zimeonesha nini namaanisha.

karibuni kwa nyongeza Mlima Kamgomoli
Akili ya mikia fc.
 
Wewe bisha lakini kwa Tanzania Mudathir uwezo wake mkubwa sana ndio sababu Kocha wa taifa ameona uwezo wake sema yupo sana low profile sana Muda tegemeo Zanzibar timu ya taifa na bara pia
 
Hapa sijaona utofauti..nimeona mapungufu ya viungo was yanga
 
Umeongea kweli, miaka mingi Yanga tunajivunia winga zenye spidi uku Simba ni viungo wazuri.
Miaka ya karibuni Kuna kiungo kama Kamusoko??aliwasha Moto mpaka Egypt mechi na Al Ahly sio viungo wa mikia away games kama wameloweshwa maji
 
Wewe bisha lakini kwa Tanzania Mudathir uwezo wake mkubwa sana ndio sababu Kocha wa taifa ameona uwezo wake sema yupo sana low profile sana Muda tegemeo Zanzibar timu ya taifa na bara pia
Nani amekataa Mudathir sio middle mzuri?... Unakosea kusema Azam ndio ina viungo bora nchi hii.
Kucheza taifa hata SONSO anacheza na BANDA anaachwa...
Na ukimtupia pale YANGA ya sasa hapati namba.. Simba pia.
 
Back
Top Bottom