madindigwa
JF-Expert Member
- Aug 30, 2017
- 2,488
- 2,904
Ushajulika ww ni myama umeongea kishabiki sio kitaalamuUtofauti mkubwa ninaoouna uliopo baina ya timu hizi ni:-
1.Yanga inaviungo ambao si wanyumbufu,hawana ubunifu wa kuutoa mpira eneo la katikati nyuma kwenda mbele.
2 .Hawana umiliki mzuri wa mpira tofauti na viungo wa Simba. Viungo wa Yanga wakiwa na mpira mara nyingi huupoteza kirahisi kabsa kabla hata ya kufika eneo la 18 la mpinzani wakati Simba wakiwa na mpira huumiliki kwa mda mrefu,na ubunifu huongezeka kadri wanavyolikaribia goli.
3.Shishimbi anaongoza kupiga basi za ovyo na kupoteza mipira. Huyu ni mchezaji ambaye huwa anakaba kwa juhudi sn lakini tatizo lake kubwa linaloighalimu timu mara nyingi ni kupoteza mpira kirahisi tena akiwa peke ake na kupiga pasi kipofu (Pasi mkaa) tena sehemu muhimu kabsa.
4.Viungo hawana kasi ni wazito sana tofauti na wa Simba ndio maana mpira wao huwa unakosa raha. Simba kila kiungo ana kasi mfano mzuri ni hizi mechi za kirafiki zimeonesha nini namaanisha.
karibuni kwa nyongeza Mlima Kamgomoli