Utofauti wa watu wa Dar na wa mkoani huu hapa

Utofauti wa watu wa Dar na wa mkoani huu hapa

Huu uzi tunaupigia kura?

Uzi bora sana
Tena zaidi ya sana

Mtoa mada Hongera sana kwa kutukumbusha.
 
acha ushamba wewe mambo mengi ndio usahau mpaka ndugu zako.

kama mambo mengi mbona aujawahi kuskip ratiba ya kwenda chooni
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao watu unaowalalamikia Dar hii ni wachache sana wengi maisha yao ni kama huyo aliyetoka kijijini tu.
 
Hivi mambo ya kwenda kusalimia kwa ndugu bado yapo?
 
Basi bhna dar es salaam utaonekana mshamba kwenda kumpokea kaka au dada au shangazi na mkoba wake wa shangazi kaja eti wote mnatoka kwenda ubungo, alafu mnaongozana mpaka kituo cha mwendo kasi wiyoo mpaka mbezi 😅😅 kila mtu yuko busy wakubughuziwa nani hapa mjini na joto lote.

Inauma sana dunia haina utu kabisa siku hizi mambo mengi nowadays ni vululuvululu
 
ni ukweli kabisa...mi nakaa dar hii hii...ila dar upepo sio sawa...hela inafanya watu wanakua wa ajabu ajabu
 
Mikoani raha sana wanaishi maisha halisi,Mjini Dar kila mtu anataka kujiona yeye ni bora kuliko..
 
Yametutokea jusi t hayo tulienda kwa jamaa Apo tabata aligoma kutupokea tulipoteaa Mara kadha eti anatuma Google maps tumfikie .tulivyo fika ndan watot hawna time na ss yaani duh aise nilishanga sna Kila
 
Hyo Ni sawa Ila kijijini Kuna ujinga mwing Zaid ya mjin kufutiliana kijinga, ukifungua biashara kurudishana nyuma Ni kawaida , mtu anagoma kuja kununua kitu kwako kisa una macho makubwa , kila mbibi Ni mchawi, mtu akijenga nyumba nzuri Ni Freemason , ukiwa zako na stress za maisha ukishindwa kusalimia unadharau, ukipnda gari ukapata siti gari limejaa , mzee akija akisimama wewe unakuta unaumwa zako utasikia vijana wa sku hizi bana , Mimi Kuna mmoja nilimpisha nikasimama baada ya kunisimanga nikadondoka makusud kuwa na umwa sna , akajiona mjnga Yan kijijini hutakiwi uwe na maisha mazur tofauti na wengne , Yan kijijini Kuna hasra nyingi kifikra Zaid ya mjni
 
Back
Top Bottom