Hyo Ni sawa Ila kijijini Kuna ujinga mwing Zaid ya mjin kufutiliana kijinga, ukifungua biashara kurudishana nyuma Ni kawaida , mtu anagoma kuja kununua kitu kwako kisa una macho makubwa , kila mbibi Ni mchawi, mtu akijenga nyumba nzuri Ni Freemason , ukiwa zako na stress za maisha ukishindwa kusalimia unadharau, ukipnda gari ukapata siti gari limejaa , mzee akija akisimama wewe unakuta unaumwa zako utasikia vijana wa sku hizi bana , Mimi Kuna mmoja nilimpisha nikasimama baada ya kunisimanga nikadondoka makusud kuwa na umwa sna , akajiona mjnga Yan kijijini hutakiwi uwe na maisha mazur tofauti na wengne , Yan kijijini Kuna hasra nyingi kifikra Zaid ya mjni