Utofauti wa watu wa Dar na watu wa Mikoani ni huu

Ndoa ikipata mwanamke mkarimu, mcheshi kwa wageni na mwenye kujali hufanya wageni wafurahie sana wanapotembelea familia hiyo. Watoto humuiga sana mama.

La pili malezi, wazazi hawawafundishi watoto wao jinsi ya kuwakarimu wageni.
Sasa huyu mwanamke,ukarimu,ucheshi na kujali inawezekana kweli,wakati ndani hakuna hela?maana vyote hivyo vinakuja kama kuna msosi ndani...
 
Kwani hiki kisa watu wa mkoani mtakirudia mara ngapi?
Hata mimi nshausoma uzi wa aina hii hapa jukwaani. Mfano ulikuwa ni Dodoma-Dar, sio Dar-Njombe kama nakumbuka vizuri.
 
Fact
 
Daah ww jamaa ww umeongea ikweli mtupu..tena hiko kutokujali utu hasa kwa hapa dar kupo kwenye zile familia zilizojipata zinazoona zinaishi kizungu..inasikitisha sana
 
Na ata tukija msibani tunaanzaga kula sisi. Wakati kaburi hatujachimba, wala nn. Ila tumepiga full black na miwani kama Kanye West.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu maisha ya town changamoto sana kuna siku nilikuwa napita flyover ya Kijazi pale ubungo imagine kuna jamaha alikuwa Anaongea na bi mkuwa wake. mama mwezi wa kumi na mbili wadogo zangu waje Tu ilihali yeye kalala chini ya flyover
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Huu ni ukweli kabisa, watu wengi hawathamini wageni kwa namna wanavyompokea mpaka mgeni anakosa amani, hii hali haipo tu dar, ipo mijini kwenye miji mingi iliyochangamka.
Mgeni unaweza kuwaza huenda labda hawajapenda niende kwao.
Upendo unazidi kupotea, binadamu wengi tumekuwa wabinafsi, hata kwenye magroup ya ndugu ya Whatsapp watu wapo kinafki, usoni wanaongea vizuri, wakila Kona kila mmoja anamsema vibaya mwenzake, mara nyingi mtu akipata uhakika wa tsh 200 ndo anakua na tabia hizo za ndugu wa dar Half american
 
Unafiki kwa ndugu ni kawaida sana naona imeshazoeleka ila inashusha sana upendo ambao ndio msingi wa familia na undugu.
 
Bora hiyo watoto wanacheza game sehemu moja. Kuna ile baba yuko bize na PC, Mama anachat , watoto wanazunguka sebule nzima wanaruka kwenye viti, meza, sofa na kelele juu, huku tv inabadilishwa kila channel.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…