Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu
Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)[/QUOTE]
Watu watakushangaa sasa ukilitumia neno hilo kwa maana halisi ya zamani. Watu walikwishaligeuza maana.
Wakuu
Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)
ku-socialize kwa kiswahili ni kujichanganya, kujumuika, nk. Kujamiiana limetafsiriwa kutoka kwenye "sexual intercourse". Na kwa kweli kitendo hicho ni sawa kabisa kiitwe "kujamiiana" yaani kuungana kimapenzi, kufanya ngono, kuunganisha via vya uzazi. Ndo intercourse yenyewe hiyo, au?maana ipi sasa inatumika ku-socialize?
ku-socialize kwa kiswahili ni kujichanganya, kujumuika, nk. Kujamiiana limetafsiriwa kutoka kwenye "sexual intercourse". Na kwa kweli kitendo hicho ni sawa kabisa kiitwe "kujamiiana" yaani kuungana kimapenzi, kufanya ngono, kuunganisha via vya uzazi. Ndo intercourse yenyewe hiyo, au?
Wakuu
Naona hili neno limeshika kasi sana karibuni kwamba huenda lilitoholewa vibaya hapo kabla, kumaanisha kufanya mapenzi ilihali maana halisi ni kujumuika pamoja (Ku-socialize)
Haswaaa....................ku-socialize kwa kiswahili ni kujichanganya, kujumuika, nk. Kujamiiana limetafsiriwa kutoka kwenye "sexual intercourse". Na kwa kweli kitendo hicho ni sawa kabisa kiitwe "kujamiiana" yaani kuungana kimapenzi, kufanya ngono, kuunganisha via vya uzazi. Ndo intercourse yenyewe hiyo, au?
Hivi "social=jamii" au "society=jamii"?Social = Jamii
Socialize = Jamiiana.
Sasa swali ni kua why Socialize inamaanisha kujumuika wakati Jamiiana inamaanisha kufanya mapenzi?
Ndio swali kuu hapa!!
Hivi "social=jamii" au "society=jamii"?
Haya bana!Refer the meaning of;
Institute(Chuo) of Social (Jamii?) Works(Usawi?:biggrin1🙂
Or
Social (jamii? au kijamii?) Networks(mitandao?).
Haya bana!