hayo mengine siwezi kuyajibu wataalam watakuja. nijuavyo niku wa kitenda cha uume kuingia ukeni ni taarifa tosha kuwa huyo mtu sio bikra tena. Bikra ni yule ambaye hajawahi kuguswa. swala la damu ama sio damu yanaweza kuwa kiashiria cha kuguswa na kutokuguswa lakini hayaelezei ubikira.😛hoto:
kama kuna mwanamke anajiona bikira kwa kutengeneza hospitalini ni mjinga na mdanganyifu tu, kwakuwa alishawahi kuruhusu uume hapo kabla.Nijuavyo mimi mwanamke Bikira ni yule ambaye hajawai kuguswa kabisa.
hawezi kuwa bikra ikiwa uume ulishawahi kugusa K yake. Na kwakuongeza tu, hii Hii hahusishi membrane kupasuka na kutoa damu, ..kwani inaweza kutoka kupitia michezo, kuendesha baiskeli nk. na akaendelea kuwa bikra. hivyo sio kigezo, kigezo cha ubikra kinahusiana kutokujamiiana ama kuruhusu uume kuingia ukeni..Vp mwanamke anaweza kuwa bikra na bado uume bado ukaingia