Nawatakieni
kheri ya shughuli zenu zote za ujengaji wa taifa letu pendwa,
Pili naomba kujuzwa eti mwanamke anaweza kutolewa bikra bila ya kutoka
damu?
Lakini huwa na skia maumivu makali wakati wa tendo kwa mara ya kwanza, na kwa mwanamme husika hua anasikia maumivu
ya uume wakati anapomuingiza uume kwa mara ya kwanza kutokana na ugumu wa hiyo bikra ya huyo mwanamke ambae
hakuzaliwa na ule ugozi ya bikra? HIVI NDIVO ALIVONIHADISIA BIBI YANGU
(SHANGAZI WA BABA ANGU) Je wadau kuna ukweli wowote kuhusu hilo?