Utokaji wa mbegu za kiume(speed)

Mkuu, Bila Shaka mmeshapata mtoto na mkeo!! Au bado mambo si mambo?
 
Ukisha mwaga shahawa ndani ya uke huwa zinakawaida ya kurudi nje ya uke au hubakia humo humo ndani?
 
TEMBELEENI HEALTH POINT KATIKA FACEBOOK MTAONA VITU ADIMU HAPOO
 
Ukisha mwaga shahawa ndani ya uke huwa zinakawaida ya kurudi nje ya uke au hubakia humo humo ndani?


samahan kwa kutojib kwa wakati nilibanwa kidogo na majukumu.
yah sometimes huwa haziji nje siku nyingine zinatoka kifupi mara chache sana kutoka nje.
 
Mkuu ukiwa una do na mamsap wewe relax tu. Usiwe una do huku ukiweka akilini kwako kuwa na do ili wife apate mimba, hapana. Mimba huwa zinaingia ukiwa/mkiwa wote hamna stress.
 
Nimekupata mkuu asante!!
 
Nimekupata mkuu asante!!
Shauri ya mipunyeto yenu ya kila siku. Umejeuaje zinatoka kama unamimina gundi?

Moja ya kipimo cha mimi kugundua hivyo ukienda kufanya kipimo sperm analysis hawapigi sindano kwenye pu*b* ili kupata hizo mbegu hosptal nyingi wanatumia njia hii ya kawaida
Kwahyo inatosha sana kujijua!!
 
Kam
Shauri ya mipunyeto yenu ya kila siku. Umejeuaje zinatoka kama unamimina gundi?[/QUOTE
Kama huna ujualo ni bora kukaa kimya tu maana pia utakuwa umemsaidia kuliko kumu irritate ,
 
Kama zinatoka kwa kumiminika ujue una miaka miwili tu kupoteza kabisa nguvu za kiume....
 
Speed niliwahi kusikia inachangia niseme kisa kimoja kwa ufupi mama mmoja alishindwa kupata mimba kwa mda na mumewe akawa htk vipimo sasa mama mzima ila baba ilionekana ana shida kdg DAKTARI AKAMWAMBIA MCHUNGUZE MUMEO KAMA ANAWEZA KURUSHA MKOJO MBALI tena mkojo wa kawaida na jaribu kufikiria nhs hilo lina ukweli ndani yake hivyo usidharau
 


asante mkuu ndio maana nikaja hapa nikiwa naiman jf ni mkusanyiko wa watu wengi na wangine ni zaidi ya madoctor!.
 
Mkuu speed siyo ishu, ila jaribu kuchek genetically kama mnaweza pata watoto, kuna case moja mke na mme waliishi miaka mingi bila watoto, lakin kila mmoja alipoenda kwa mtu mwingine wote walipata watoto. Kuna mtu ambaye kamwe huwezi pata mtoto naye hata ufanye nin. Pili kama watangulizi walivyosema usikanie sana. Binafsi niliwah kania sana kumpa binti mmoja mimba lakini haikuwezekana, nilipokata tamaa na kuwa normal bint alipata hiyo mimba. Trust me uko normal na utapata mtoto lakin don't be so eager kuhusu hili jambo
 



thanx mkuu!!
 
Kula Almond (Lozi) #1Oct 17, 2011

Lozi (Almond):

Lozi inajulikana kama ni King katika jamii ya njugu, ina elements karibia ya zote zinazohitajika katika mwili wa mwanadam. Ni chakula chenye kutia nishati mwili na akili.
Kuna aina mbili za Lozi, kuna lozi zile tamu na kuna lozi chungu kuna zenye ngozi nyembamba (thin-skinned) na kuna zenye ngozi nene(thick-skinned) hii ni katika aina ya lozi tamu ambazo ndio tunazozitumia na tunahitajika kutumia ama zile lozi chungu zina prussic acid ambayo ni sumu hata hivo hizo lozi chungu zinatumika katika mambo ya kutengenezea cosmetics, mafuta ya lozi (almond oil) pia na perfum
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…