Utopolo atapoteza mechi siku zile pesa zilizochotwa stanbic zikiisha

Simba ndio timu ambayo iliwahi kumtumia mchezaji wake wa Zamani Ulimboka Mwakingwe aende ku mhonga aliyekua Golikipa wa mtibwa na timu ya Taifa Shabani Kado.
Kado aliwapa taarifa viongozi wa Mtibwa ambao waliamua kutega mtego na kufanikiwa kumkamata Ulimboka.
Baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi Ulimboka alidai fedha izo kiasi Cha shilingi laki nne walizomkutanazo alikua akienda kumlipa deni lake Shabani Kado Golikipa wa Mtibwa.
Polisi Waka mlaza mahabusu na kumwachia kesho yake asubuhi Kwa dhamana.
Uongozi wa Simba ulipoulizwa kuhusu swala ilo walitoa majibu yasiyo eleweka.

Naye aliyewahi kuwa kocha wa Mtibwa,. Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi usio na shaka Kwa Moja ya klabu iyo kubwa kutaka kumhonga Ili wapate wepesi katika mechi dhidi Yao Mtibwa shuga.
Tff walitaka ushahidi na yeye Kibadeni akapeleka ushahidi lakini swala hilo alijulikani lilikwisha Kwa staili gani.
 
Haiondoi ukweli kwamba mnatumia pesa nyingi kuhonga waamuzi na kurubuni baadhi ya wachezaji wa timu pinzani,au hata baadhi ya watu wa karibu na timu pinzani
pole aisee, kwa hiyo simba na uwekezaji wote huo mnahongwa na Yanga!!??
 
Kama ni kweli kwanini nyie mnashindwa kufanya hivyo? Hayo ni maneno ya mkosaji pambaneni na hali yenu tatizo lenu uswahili mwingi.
 
Toa hapa habari za huyo mwendawazimu
 
Sasa unalalamika nini wewe si ushinde kimataifa mwenzako ashinde kitaifa mwisho wa siku kila mtu aje na kombe lake
 
Kwa hiyo kipindi kile mnachukua ubingwa mara nne hizo hela zilikuwa hazijatoka? "Mbumbumbu mnachekesha sana"
 
Ngao ya Hisani na hii ya juzi mchezaji gani wenu alipewa mzigo.
 
Siku mkileta ushahidi hizi ntantalila ndo tutaziamini vinginevyo endelea kumeza Panadol maana maumivu ni makali sana😆
 
Yanga hawajafungwa michezo 44 ya ligi kuu,unataka kutuaminisha kwamba timu zote za ligi kuu ya bara zinajiuza kwa Yanga wakiongozwa na Simba? Bei ya makolo ni shilingi ngapi?
 
Ha ha haa,...unaongea kama umechanfanyikiwa hujui hata unasema nini..
Utopolo bhana
 
Kwa hiyo kipindi kile mnachukua ubingwa mara nne hizo hela zilikuwa hazijatoka? "Mbumbumbu mnachekesha sana"
Unajua vizuri sababu unajichetua tu hapa akili kiwango cha nyani
 
Yanga hawajafungwa michezo 44 ya ligi kuu,unataka kutuaminisha kwamba timu zote za ligi kuu ya bara zinajiuza kwa Yanga wakiongozwa na Simba? Bei ya makolo ni shilingi ngapi?
Mnajua sana michezo yenu,mkishindwa kwa wachezaji mnaweka nguvu kwa waamuzi na wachawi.
Hamna lolote ndio maana kimataifa mnabanjuliwa tu
 
Mnajua sana michezo yenu,mkishindwa kwa wachezaji mnaweka nguvu kwa waamuzi na wachawi.
Hamna lolote ndio maana kimataifa mnabanjuliwa tu

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…