Utopolo atapoteza mechi siku zile pesa zilizochotwa stanbic zikiisha

Utopolo atapoteza mechi siku zile pesa zilizochotwa stanbic zikiisha

Simba ndio timu ambayo iliwahi kumtumia mchezaji wake wa Zamani Ulimboka Mwakingwe aende ku mhonga aliyekua Golikipa wa mtibwa na timu ya Taifa Shabani Kado.
Kado aliwapa taarifa viongozi wa Mtibwa ambao waliamua kutega mtego na kufanikiwa kumkamata Ulimboka.
Baada ya kukamatwa na kufikishwa polisi Ulimboka alidai fedha izo kiasi Cha shilingi laki nne walizomkutanazo alikua akienda kumlipa deni lake Shabani Kado Golikipa wa Mtibwa.
Polisi Waka mlaza mahabusu na kumwachia kesho yake asubuhi Kwa dhamana.
Uongozi wa Simba ulipoulizwa kuhusu swala ilo walitoa majibu yasiyo eleweka.

Naye aliyewahi kuwa kocha wa Mtibwa,. Abdalah kibadeni alisema anao ushahidi usio na shaka Kwa Moja ya klabu iyo kubwa kutaka kumhonga Ili wapate wepesi katika mechi dhidi Yao Mtibwa shuga.
Tff walitaka ushahidi na yeye Kibadeni akapeleka ushahidi lakini swala hilo alijulikani lilikwisha Kwa staili gani.
 
Haiondoi ukweli kwamba mnatumia pesa nyingi kuhonga waamuzi na kurubuni baadhi ya wachezaji wa timu pinzani,au hata baadhi ya watu wa karibu na timu pinzani
pole aisee, kwa hiyo simba na uwekezaji wote huo mnahongwa na Yanga!!??
 
Kama ni kweli kwanini nyie mnashindwa kufanya hivyo? Hayo ni maneno ya mkosaji pambaneni na hali yenu tatizo lenu uswahili mwingi.
 
Inawezekana kuwa na ukweli, ninajiuliza lile bakuli la Yanga la michango baada ya JPM kuondoka tu na lenyewe halipo! Kipindi cha miaka mitano ya JPM Yanga iliweweseka sana sana! Hii inatufundisha tofauti kuwa na utajiri wa halali na utajiri wa magumashi! Time will tell!!!
Toa hapa habari za huyo mwendawazimu
 
Timu inayishinda kihalali hushinda hata mechi za kimataifa.
Kama una rekodi nzuri ndani na huku una rekodi chafu kimataifa ni dalili tosha ushindi unaoupata ni wa kimchongo.

Simba hushinda na wakati mwingine huwa na wakati mbaya nayo hufungwa.Huo ndio uhalisia wa soka.

Kinachofanyika na utopolo ni maigizo ya mpira kwa kuwa akili zenu ni za nyani hamuwezi kutofautisha maigizo na uhalisia.

Hivi sasa mnatafuta maigizo tena kwa Geita gold.Wachezaji wameshaanza kutoa siri.
Tunasubiri mchezo wa maigizo mwingine dhidi ya Geita gold.Kama muvi za kihindi tu
Sasa unalalamika nini wewe si ushinde kimataifa mwenzako ashinde kitaifa mwisho wa siku kila mtu aje na kombe lake
 
Siku ukisikia hawa jamaa wamefungwa na timu za ndani, ujue pesa zilizochotwa kwenye viroba kipindi kile zimeisha.

Kwa sasa wala hamna sababu ya kutarajia hawa jamaa kuwa watapoteza mechi yoyote hapa nchini.

Wamekuwa wazuri kudili na baadhi ya wachezaji wa wapinzani wao na waamuzi ili kuwapa ushindi ama ikishindikana kabisa sare kwa namna yoyote.

Utaona KMC wao walipewa pesa kuanzia msemaji wao, na baadhi ya wachezaji ambao ni utopolo lia lia.

Hiyo ni sawa na Geita gold kuna watu walishakula chao na mtaona mchezo utakavyokuwa wa maigizo.
Kwa hiyo kipindi kile mnachukua ubingwa mara nne hizo hela zilikuwa hazijatoka? "Mbumbumbu mnachekesha sana"
 
Siku ukisikia hawa jamaa wamefungwa na timu za ndani, ujue pesa zilizochotwa kwenye viroba kipindi kile zimeisha.

Kwa sasa wala hamna sababu ya kutarajia hawa jamaa kuwa watapoteza mechi yoyote hapa nchini.

Wamekuwa wazuri kudili na baadhi ya wachezaji wa wapinzani wao na waamuzi ili kuwapa ushindi ama ikishindikana kabisa sare kwa namna yoyote.

Utaona KMC wao walipewa pesa kuanzia msemaji wao, na baadhi ya wachezaji ambao ni utopolo lia lia.

Hiyo ni sawa na Geita gold kuna watu walishakula chao na mtaona mchezo utakavyokuwa wa maigizo.
Ngao ya Hisani na hii ya juzi mchezaji gani wenu alipewa mzigo.
 
Siku mkileta ushahidi hizi ntantalila ndo tutaziamini vinginevyo endelea kumeza Panadol maana maumivu ni makali sana😆
 
Siku ukisikia hawa jamaa wamefungwa na timu za ndani, ujue pesa zilizochotwa kwenye viroba kipindi kile zimeisha.

Kwa sasa wala hamna sababu ya kutarajia hawa jamaa kuwa watapoteza mechi yoyote hapa nchini.

Wamekuwa wazuri kudili na baadhi ya wachezaji wa wapinzani wao na waamuzi ili kuwapa ushindi ama ikishindikana kabisa sare kwa namna yoyote.

Utaona KMC wao walipewa pesa kuanzia msemaji wao, na baadhi ya wachezaji ambao ni utopolo lia lia.

Hiyo ni sawa na Geita gold kuna watu walishakula chao na mtaona mchezo utakavyokuwa wa maigizo.
Yanga hawajafungwa michezo 44 ya ligi kuu,unataka kutuaminisha kwamba timu zote za ligi kuu ya bara zinajiuza kwa Yanga wakiongozwa na Simba? Bei ya makolo ni shilingi ngapi?
 
Sisi tunajua Simba jinsi inavyo shinda mechi zake za kimataifa, hatuwezi kuchagua njia wanayo tumia Simba kuifuata kwakua tunajua huwezi kupata mafanikio ya kweli katika soka Kwa kutumia njia izo chafu.
Mwishoe uwa ku umbuka na kudharilisha Taifa Kwa kupigwa faini za mambo ya kichawi, hongo, na kupulizia vitu vya ajabu kwenye vyumba vya kubadilishia nguo vya timu pinzani.
Ni Bora tutumie njia ya Sahihi ya uwekezaji na wataalamu kufika kwenye mafanikio ya kudumu na njia iliyo nyooka kwakua mafanikio yake ni ya uhakika.
Ha ha haa,...unaongea kama umechanfanyikiwa hujui hata unasema nini..
Utopolo bhana
 
Yanga hawajafungwa michezo 44 ya ligi kuu,unataka kutuaminisha kwamba timu zote za ligi kuu ya bara zinajiuza kwa Yanga wakiongozwa na Simba? Bei ya makolo ni shilingi ngapi?
Mnajua sana michezo yenu,mkishindwa kwa wachezaji mnaweka nguvu kwa waamuzi na wachawi.
Hamna lolote ndio maana kimataifa mnabanjuliwa tu
 
Mnajua sana michezo yenu,mkishindwa kwa wachezaji mnaweka nguvu kwa waamuzi na wachawi.
Hamna lolote ndio maana kimataifa mnabanjuliwa tu

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom