Utopolo hawaamini wanacho kiona.

ITR

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
6,096
Reaction score
16,390
Kuna nyuzi kama mbili hivi nisha wahi kuzileta humu na zote nilisisitiza kuwa simba yaweza kuwa mbovu kwa kiasi fulani lakini sio mbovu kama wachambuzi uchwara wanavyo tuaminisha, ukiendea kichwa kichwa inakuinamisha na kukushughulikia bila mafuta.

Na pia nikasisitiza kuwa utopolo yaweza kuwa bora lakini haina ubora kama ambavyo wachambuzi uchwara walikuwa wanajaribu kutuaminisha bali ina ubora wa kawaida.

Lakini mashabiki wa utopolo wakanijia juu eti wanasema Yanga ni bora kisa kuifunga Mazembe ambayo imeshajifia mpaka wajipa na ubingwa wa shirikisho [emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]

Eti timu inayo jinasibu kuwa na kiungo bora barani Afrika kinakuja kudhibitiwa na Nyoni mpaka kinapoteana [emoji2][emoji2][emoji2]

Utopolo walowaa,wamelowa na mvua [emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawaamini wanacho kiona.
 
Simba Moto Wa Kuotea Mbali Imeivurumisha Yanga Hoi Huko
 
Yanga imetia aibu sana, hivi kweli Kapama, Nyoni, Ally Salim nk wachezaji wa kikosi Na.3 ndio wa kuwaaibisha vile kweli aibu sana hii
Ndo wajifunze kuheshimu mpila wa miguu .
 
Eti timu inayo jinasibu kuwa na kiungo bora barani Afrika kinakuja kudhibitiwa na Nyoni mpaka kinapoteana
 
Eti timu inayo jinasibu kuwa na kiungo bora barani Afrika kinakuja kudhibitiwa na Nyoni mpaka kinapoteana
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Eti timu inayo jinasibu kuwa na kiungo bora barani Afrika kinakuja kudhibitiwa na Nyoni mpaka kinapoteana
Hii kali aisee nyoni ameweka lock pale kati mkongo cheupe dawa na yule msukuma wa uganda sijawaona kabisa.

Mzamiru ni ng'olo mtupu.
 
Utopolo wamelowa kweli kweli [emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…