ITR
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 6,096
- 16,390
Kuna nyuzi kama mbili hivi nisha wahi kuzileta humu na zote nilisisitiza kuwa simba yaweza kuwa mbovu kwa kiasi fulani lakini sio mbovu kama wachambuzi uchwara wanavyo tuaminisha, ukiendea kichwa kichwa inakuinamisha na kukushughulikia bila mafuta.
Na pia nikasisitiza kuwa utopolo yaweza kuwa bora lakini haina ubora kama ambavyo wachambuzi uchwara walikuwa wanajaribu kutuaminisha bali ina ubora wa kawaida.
Lakini mashabiki wa utopolo wakanijia juu eti wanasema Yanga ni bora kisa kuifunga Mazembe ambayo imeshajifia mpaka wajipa na ubingwa wa shirikisho [emoji2][emoji2][emoji2][emoji3]
Eti timu inayo jinasibu kuwa na kiungo bora barani Afrika kinakuja kudhibitiwa na Nyoni mpaka kinapoteana [emoji2][emoji2][emoji2]
Utopolo walowaa,wamelowa na mvua [emoji2][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hawaamini wanacho kiona.