Utopolo huna namna! Usiyempenda kaja!!

Utopolo huna namna! Usiyempenda kaja!!

Yaan mashabiki UTOPOLO kweli mavi matupu yaan UTOPOLO wa kumshauri Mnyama ajenge timu wakati wewe miaka 4 hupati kombe la ligi huwa nacheka sana yaan mtu miaka 4 kaacha shule anazurulazurula jangwani kusoma hataki halafu anakushauri wewe soma kuna NECTA
 
Acha shombo za samaki wewe, kaja wapi sasa, kwani si kila mtu atashinda gamezake tu basi, acha uropouropo ww mtoto mdogo
Subirj ushinde meçhi zako kama ni za kushindia mdomoni!! Coastal anawasubiri !
 
mleta uzi kama unaujua mpira basi utaelewa kuwa Simba imepata alama tatu ila imeonesha mpira wa ovyo utafikiri sio hawa waliotumia pre season Morocco na Arusha zaidi ya mwezi mmoja. Mpira mbovu sana mipango imekuwa hamna kiufupi kuna kazi ya kufanya kuifanya simu ya msimu iliopita kurudi katika kiwango kile kile. Ushindi wa uhakika, mchezo wa kueleweka, na nafasi zinatengenezwa zikaonekana. Pengine Simba hii labda biriani wanalisakata kwenye viwanja vizuri kama kwa Mkapa ngoja tujipe muda tuone kwa Mkapa wataonesha kiwango kipi. Ila michezo miwili hii performance ya timu ni kiwango cha chini sana
 
Yaan mashabiki UTOPOLO kweli mavi matupu yaan UTOPOLO wa kumshauri Mnyama ajenge timu wakati wewe miaka 4 hupati kombe la ligi huwa nacheka sana yaan mtu miaka 4 kaacha shule anazurulazurula jangwani kusoma hataki halafu anakushauri wewe soma kuna NECTA
Wamemsajili manara ili awape makombe eti
 
Usiyempenda kaja!! Utopolo huna jinsi, inabidi ukubali tu simba gari kubwa!! Likiwaka gari zote zilizotangulia zinakuwa kama baiskeli za miti.
Simba hii iliyocheza na Dodoma mji haina uwezo hata wa kushinda kombe la "UMITASHUNTA"
 
Simba kaeni mtulize akili mjenge team aisee.

Tulizeni akili mjifunze walau nidhamu ya kucheza CL,siyo Simba anavuja jasho kutafuta nafasi nne,mnakuja kuchezea kichapo nnje ndani hatua ya kindergaten.
 
Njia pekee ya Yanga kuchukua kombe ni mpaka waliibe.

Mwaka huu mmejipanga kwelikweli majungu, Rushwa na ushirikina ila bado tutawapiga dole tu.
 
Back
Top Bottom