Utopolo kusikia wamepangiwa Al Hilal akili zimewaruka, nyie si mnasema mna kikosi cha Man City

Habari kwamba Utopolo inacheza na Al Hilal zimepokewa kwa masikitiko makubwa sana na jamaa zetu wa pale jangwani, hawaamini macho yao, wakiangalia usajili walioufanya wa mamilioni halafu timu waliyopangiwa nayo wanaona shughuli imekwisha.

Yaani huko mitaani habari ndio hiyo, kuwa bora waendelee kudanganya mashabiki wao kwa kucheza ndondo za ndani na kuifunga Simba basi, huko nje biashara ngumu. Ngumu sana. Tunaita ngumu kumeza.

Yaani kwenye betting siku ya mchezo wa marudiano kule Sudan naweka milioni Al Hilali anapiga Handicap, kudadeki.

Mmetutukana sana Simba, mlikuwa mnawasaidia wageni kwa kwenda kuwapokea na kuwaambia kuwa sisi tunaweka sumu kwenye vyumba, sisi tunatumia nguvu za giza, sisi tunacheza sana mpira nje kuliko ndani, Leo mmevaba, nasikia mmeomba kikao na uongozi wa mnyama msaidiwe kimataifa, nawaambia viongozi wetu kama wanataka balaa basi washirikiane nao, wao c wanadai wana timu bora, wanasema hawajafungwa siku ya laki moja Leo, na hakuna wa kuwafunga.

Nyie subirini mcheze na mnyama mshinde mshangilie, sisi tumeshavuka huko, hata mkienda bungeni kuomba msaada hakuna, oktoba sio mbali, Ibenge kiboko yenu.
We mwana mikia 🦁Fc,acha Dua za kuku,hao tunawapiga halafu useme vizuri🤸
 
Acha Upumbavu wewe.
 
Back
Top Bottom