denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
Naona jamaa zangu wa utopolo wamepatwa na mshtuko wa ghafla baada ya kuona thamani ya mkataba mpya walioingia Simba SC.
Tunaojua mambo tulishawaambia mapema, watulize mihemko yao wakati ule wakishangilia mkataba wao walioingia na Sportpesa wa thamani ya bilioni 4 na ushee kwa mwaka, coz tunajua Simba SC ni brand ya kimataifa.
Leo majibu yametoka, nani kafaulu mtihani, jamaa zangu utopolo walikuwa wanashangilia kupata swali kwenye mtihani kwa majibu ya kukariri, hawakujua swali lilikuwa na kamtego kadogoo, kamewanasa.
Sasa wanaanza oohh mkataba sio wa kweli, ok, tuwekeeni huo wa ukweli waliosaini Simba SC na M- bet tuuone, kama hamna, nawashauri mtulie tuliii, madaktari wenu ndio tunawaweka sindano mkitingishika itavunjikia..
Wengine oohh mkataba wa miaka mitano kifuani ni mkubwa sana, hata hawajui timu kubwa huko mbele huwa zinaingia mikataba mpaka ya miaka saba au zaidi.
Wengine ooh M- bet ni kampuni ndogo sana Tanzania haitaweza kuumudu huo mkataba, mbona ule wa Sportpesa hamkuuliza, au hamkuuliza kwasababu mnajua Sportpesa iko East Afrika, basi na M- bet iko worldwide, mtuliee...
Leo mkatafute panadol za kulalia kwa usalama wenu, vinginevyo kesho hamtaamka.