Utopolo msituletee makasiriko yenu. Simba SC ni next level, sijui mtaelewa lini..

denooJ

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2020
Posts
18,509
Reaction score
68,228
Naona jamaa zangu wa utopolo wamepatwa na mshtuko wa ghafla baada ya kuona thamani ya mkataba mpya walioingia Simba SC.

Tunaojua mambo tulishawaambia mapema, watulize mihemko yao wakati ule wakishangilia mkataba wao walioingia na Sportpesa wa thamani ya bilioni 4 na ushee kwa mwaka, coz tunajua Simba SC ni brand ya kimataifa.

Leo majibu yametoka, nani kafaulu mtihani, jamaa zangu utopolo walikuwa wanashangilia kupata swali kwenye mtihani kwa majibu ya kukariri, hawakujua swali lilikuwa na kamtego kadogoo, kamewanasa.

Sasa wanaanza oohh mkataba sio wa kweli, ok, tuwekeeni huo wa ukweli waliosaini Simba SC na M- bet tuuone, kama hamna, nawashauri mtulie tuliii, madaktari wenu ndio tunawaweka sindano mkitingishika itavunjikia..

Wengine oohh mkataba wa miaka mitano kifuani ni mkubwa sana, hata hawajui timu kubwa huko mbele huwa zinaingia mikataba mpaka ya miaka saba au zaidi.

Wengine ooh M- bet ni kampuni ndogo sana Tanzania haitaweza kuumudu huo mkataba, mbona ule wa Sportpesa hamkuuliza, au hamkuuliza kwasababu mnajua Sportpesa iko East Afrika, basi na M- bet iko worldwide, mtuliee...

Leo mkatafute panadol za kulalia kwa usalama wenu, vinginevyo kesho hamtaamka.
 
giphy.gif
 
Naona jamaa zangu wa utopolo wamepatwa na mshtuko wa ghafla baada ya kuona thamani ya mkataba mpya walioingia Simba SC.

Tunaojua mambo tulishawaambia mapema, watulize mihemko yao wakati ule wakishangilia mkataba wao walioingia na Sportpesa wa thamani ya bilioni 4 na ushee kwa mwaka.

Leo majibu yametoka, nani kafaulu mtihani, jamaa zangu utopolo walikuwa wanashangilia kupata swali kwenye mtihani kwa majibu ya kukariri, hawakujua swali lilikuwa na kamtego kadogoo, kamewanasa.

Sasa wanaanza oohh mkataba sio wa kweli, ok, tuwekeeni huo wa ukweli waliosaini Simba SC na M- bet tuuone, kama hamna, nawashauri mtulie tuliii, madaktari wenu ndio tunawaweka sindano mkitingishika itavunjikia..

Wengine oohh mkataba wa miaka mitano kifuani ni mkubwa sana, hata hawajui timu kubwa huko mbele huwa zinaingia mikataba mpaka ya miaka saba au zaidi, hii yote ni kihoro/pressure, tuliwaonya mapema mfunge mabakuli yenu hamkusikia, sasa leo mkatafute panadol za kulalia.
Tunaipongeza Simba yetu kwa udhamini huu mnono, tusisahau kuwakumbushia zile B20 za mwamedi ili tujumlishie na hizi 26 ziwe 46 tuendeshee timu yetu tumpige gepu jirani yetu maana wanatamba sana
 
Kabla ya hapo simba ilikuwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.

Tukiacha unazi, BAKHRESA(kupitia AZAM TV) na MO(kwa SIMBA), wanahitaji pongezi kubwa saana, yanga walichokipata kuna nguvu kuwa ya mafanikio ya simba, ukitizama kwa miaka ya karibuni hakuna yanga amefanya mtu awekeze kiasi kikubwa vile.
Na nina imani sport Pesa alitaka kuwapa wote kwa pamoja kiasi kile kile, simbA akagoma.

Thamani ya mpira bongo imepanda kupitia azamtv na simba,
Umaarufu wa ligi ya bongo umepanda sababu ya simba
 
na timu zote za ligi kuu zilileta ushindani mzuri msimu uliopita
 
Kabla ya hapo simba ilikuwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.

Tukiacha unazi, BAKHRESA(kupitia AZAM TV) na MO(kwa SIMBA), wanahitaji pongezi kubwa saana, yanga walichokipata kuna nguvu kuwa ya mafanikio ya simba, ukitizama kwa miaka ya karibuni hakuna yanga amefanya mtu awekeze kiasi kikubwa vile.
Na nina imani sport Pesa alitaka kuwapa wote kwa pamoja kiasi kile kile, simbA akagoma.

Thamani ya mpira bongo imepanda kupitia azamtv na simba,
Umaarufu wa ligi ya bongo umepanda sababu ya simba
Hawana shukurani hao, hawajui hata hizo bilioni 4 walizopewa na Sportpesa kama sio Simba SC kupandisha thamani ya hii ligi yetu kwa kupeleka timu nne kimataifa wasingezipata.
 
Kabla ya hapo simba ilikuwa na thamani hiyo ya kupewa bilioni 5 kwa mwaka!? Si walikuwa simba na yanga wanapokea milioni mia 9 kwa mwaka.

Tukiacha unazi, BAKHRESA(kupitia AZAM TV) na MO(kwa SIMBA), wanahitaji pongezi kubwa saana, yanga walichokipata kuna nguvu kuwa ya mafanikio ya simba, ukitizama kwa miaka ya karibuni hakuna yanga amefanya mtu awekeze kiasi kikubwa vile.
Na nina imani sport Pesa alitaka kuwapa wote kwa pamoja kiasi kile kile, simbA akagoma.

Thamani ya mpira bongo imepanda kupitia azamtv na simba,
Umaarufu wa ligi ya bongo umepanda sababu ya simba
Uto hawatakuelewa na watakuona kama muhujumu wao ni wewe.🤣
 
Yanga sijui watabadilika lini. Wao wanafanya mambo yao kumkomoa au kushindana na Simba. Lakini sasa Simba hana muda na Yanga. Wao Simba wanataka kufikia level za vilabu vikubwa Afrika kama Al ahly, Zamalek, Casablanca n.k. Hivyo vilabu ndio vinafanya Simba afanye kila kitu anachokifanya
 
Kujiweka kwenye Levo za Al Ahally FC ni umbumbumbu bila ya kombe la WANAUME la klabu Bingwa Afrika.
 
Back
Top Bottom