Utopolo msituletee makasiriko yenu. Simba SC ni next level, sijui mtaelewa lini..

Shida kila sehemu ni siasa, na sisi kwa upuuzi tunashabikia. Tumeona hii mikataba ya Simba na Yanga? Au tunafurahia figures tu? Ndio maana tunapigwa sana na wanasiasa, huwa hatuna uwezo wa kuhoji.
Kama unaamini mkataba ni wa uongo, tuwekee hapa wa ukweli tuuone..

Naona huu mkataba wa Simba SC ndio imekuwa siasa, ule mwingine ulikuwa nini? kilimo?!
 
Sasa ile t. shirt iliyoandikwa bilion 26 ikichanika ndio mkataba utakuwa umeisha ama???
 
Sasa ile t. shirt iliyoandikwa bilion 26 ikichanika ndio mkataba utakuwa umeisha ama???
Hiyo ni alama tu dogo kuonesha thamani ya mkataba walioingia, hayo mapesa tayari yapo kimaandishi hayawezi kuondoka kirahisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…