denooJ
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 18,509
- 68,228
- Thread starter
- #41
Kama unaamini mkataba ni wa uongo, tuwekee hapa wa ukweli tuuone..Shida kila sehemu ni siasa, na sisi kwa upuuzi tunashabikia. Tumeona hii mikataba ya Simba na Yanga? Au tunafurahia figures tu? Ndio maana tunapigwa sana na wanasiasa, huwa hatuna uwezo wa kuhoji.
Naona huu mkataba wa Simba SC ndio imekuwa siasa, ule mwingine ulikuwa nini? kilimo?!