Utopolo ni jina litakalodumu karne na karne-asante bwana Mashaka

Kuna watu mnapata shida duniani. Unalala unaiota Yanga. Huo sio ushabiki umepitiliza. Hakika unahitaji ushauri nasaha,vinginevyo ipo siku si nyingi watakupoteza kwa kubanwa na mshipa
 
Mashaka Kapingo shabiki wa Yanga siku alipochefukwa na kipigo cha 3 bila dhidi ya Kagera ndipo akatuitie jina Utopolo.

Hakika jina limewapendeza na limewakaa vyema. Jina hili litadumu karne na karne.

Jina limefanana vyema na mashabiki wa Yanga wazee wa Utopolo na hata viongozi wao huwaona mashabiki Utopolo.

Heri ya Xmas na Mwaka Mpya Utopolo wote wa JF
Acha zako we mikia fc.
 
Yanga ndio kilabu kinachoongoza kwa majina ya utani yani, nicknames halafu zote zimelenga kuidhoofisha. 🤣🤣🤣🤣🤣

Utopolo FC, Vyura FC, Mikia FC hahahah
 
Mashaka Kapingo shabiki wa Yanga siku alipochefukwa na kipigo cha 3 bila dhidi ya Kagera ndipo akatuitie jina Utopolo.

Hakika jina limewapendeza na limewakaa vyema. Jina hili litadumu karne na karne.

Jina limefanana vyema na mashabiki wa Yanga wazee wa Utopolo na hata viongozi wao huwaona mashabiki Utopolo.

Heri ya Xmas na Mwaka Mpya Utopolo wote wa JF
.
FB_IMG_1599615365664.jpg

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Litadumu kwakuwa jina Utopolo lilipendekezwa na Mwanachama hai na mshabiki wa lialia wa Yanga.
Baada ya kuiangalia Tim yake akasema " hii sio Yanga tena bali Utopolo"
Mi nashangaa wengine wanapoita jina 'Utopolo' Wanayanga wanawakasilikia wakati ni nyie wenyewe mmejibatiza hivyo.
Tena kawabatiza mdau mkubwa wa Yanga.
Mnawalaumuje wengine...?
Uto kama Uto inabidi mtulie tu labda mwombe lisahaulike.
Kwani, mmejipa wenyewe.
 
Kumekua na wimbi kubwa la simba fans kuiongelea yanga sijui why
 
Mashaka Kapingo shabiki wa Yanga siku alipochefukwa na kipigo cha 3 bila dhidi ya Kagera ndipo akatuitie jina Utopolo.

Hakika jina limewapendeza na limewakaa vyema. Jina hili litadumu karne na karne.

Jina limefanana vyema na mashabiki wa Yanga wazee wa Utopolo na hata viongozi wao huwaona mashabiki Utopolo.

Heri ya Xmas na Mwaka Mpya Utopolo wote wa JF
Hivi maana yake ni nini hilo neno kwa mujibu wa mashaka?
 
Back
Top Bottom