Utopolo wameanza kulia kabla ya November 7

rodrick alexander

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2012
Posts
16,784
Reaction score
23,312
Kabla ya ratiba kutoka Simba ilikuwa icheze na Prison Sumbawanga na Utopolo walikuwa wacheze na Polisi Dar, baada ya ratiba mpya kutoka simba na yanga zitacheza viporo vyao tarehe 22 na kufatiwa na mechi mfululizo tatu kwa kila timu huku yanga ikienda Kanda ya Ziwa kupambana na KMC Mwanza, biashara Mara na tarehe 3 kucheza na gwambina mwanza kabla ya kuivaa Simba tarehe 7 November wakati Simba itacheza mechi tatu mfululizo Dar mechi ya mwisho ikiwa November 4 kabla ya kuwavaa yanga.

Baada ya ratiba kutoka uongozi wa yanga unajadiliana mechi moja ihairishwe kabla ya kukutana na Simba huku wakisahau ni mazingira yaleyale ambayo Simba alikuwa nayo ya kucheza Sumbawanga wakati yeye alikuwa acheze na Polisi Dar bilabsimba kulalamika.

Chanzo ni gazeti lao pendwa, Mwanaspoti.
 
Msimu uliopita Simba alicheza na KMC akacheza na Azam kisha yanga mfululizo...wakashinda moja bila Simba wakakaa kimyaaa. Ila ingekua upande wao ungesikia TFF nye nye nyeeee!

Hizo timu nilizozitaja hapo sidhani kama Yanga walipata point msimu uliopita na kama walipata hazizidi tatu na sina hakika.

# Utopolo ni Malalamiko FC
 
Simba haikulalamika hadharani kwa kuwa ilijua mechi hiyo itaahirishwa...watu wengine wote wenye upeo na uelewa was soka jnavuoendeshwa nchini walijua kuwa mechi hiyo ya Oktoba ingeahirishwa...Simba wasingekuwa tayari kucheza mechi hiyo kwa sababu hiyo na pia wachezaji wake muhimu wasili wakiwa na kadi..
TFF ni ya Simba..
Na huyo aliyepanga ratiba ya awali atachukuliwa hatua kwa kutaka kuhujumu Simba...
Kwa Sasa Simba ndio wenye TFF...
 
Unaweza kuthibitisha maneno yako, hivi unakumbuka msimu uliopita tulicheza na azam baada ya siku nne tukacheza na yanga wakati wao walikuwa wamepumzika.
Baada ya simba kufungwa na yanga ulisikia malalamiko yoyote kuhusiana na ratiba.
Hapo unatakiwa uelewe maana ya kikosi kipana inakupa nafasi ya kufanya rotation ya wachezaji wengine wanacheza dakika chache wakati wengine hawachezi kabisa.
 
Endeleeni kujidanganya hivyo hivyo...hujui kinachoendelea nyuma ya pazia...wewe furahia 'ushindi' ambao hujui unapatikana vipi...
 
Wanajua hizo mechi za utangulizi kabla ya derby zitakuwa ni mechi za mauaji na kumpa Simba momentum kuelekea kwenye kipigo chao.
 
Lilisikika chura zee likilia[emoji24][emoji24][emoji24]
 
Kweli wew utopolo
 
Wakati mwingine nawaza simba imekuwaje watani wa jadi na hili timu la ajabu ,hivi hakuna namna tusiwe watani wa jadi ?maana hawa uswahili mwingi siyo level ya simba ,heri hata ingekuwa utani wa jadi na azam kuliko hawa wapumbavu
 
Wakati mwingine nawaza simba imekuwaje watani wa jadi na hili timu la ajabu ,hivi hakuna namna tusiwe watani wa jadi ?maana hawa uswahili mwingi siyo level ya simba ,heri hata ingekuwa utani wa jadi na azam kuliko hawa wapumbavu
Matatizo ya kuja mjini ukubwani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…