rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
Kabla ya ratiba kutoka Simba ilikuwa icheze na Prison Sumbawanga na Utopolo walikuwa wacheze na Polisi Dar, baada ya ratiba mpya kutoka simba na yanga zitacheza viporo vyao tarehe 22 na kufatiwa na mechi mfululizo tatu kwa kila timu huku yanga ikienda Kanda ya Ziwa kupambana na KMC Mwanza, biashara Mara na tarehe 3 kucheza na gwambina mwanza kabla ya kuivaa Simba tarehe 7 November wakati Simba itacheza mechi tatu mfululizo Dar mechi ya mwisho ikiwa November 4 kabla ya kuwavaa yanga.
Baada ya ratiba kutoka uongozi wa yanga unajadiliana mechi moja ihairishwe kabla ya kukutana na Simba huku wakisahau ni mazingira yaleyale ambayo Simba alikuwa nayo ya kucheza Sumbawanga wakati yeye alikuwa acheze na Polisi Dar bilabsimba kulalamika.
Chanzo ni gazeti lao pendwa, Mwanaspoti.