kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Acha upumbavu wewe, wenyewe tumeacha kuangalia game zetu....!! We kama nani?
Kalia tako moko fc.Tuna taka muone kuwa tunawaangalia tu jinsi mnavyobebwa,ni mara nyingi sana mnabebwa hivi.
Kwa kiwango mnachobebwa kuanzia ile goal corner ,na magoli mengi tu dhidi yenu kukataliwa hadi mechi ya Kagera na leo Mwadui,Ingekuwa ni Simba ashindae"the lion conqueror " mngechonga sana.Ila kwa vile nyani haoni kundule,ndio maana mna kelele sana.
Mwadui wamenyimwa penalty mbili clear kabisa