Utopolo wamebebwa mechi ya Mwadui

Utopolo wamebebwa mechi ya Mwadui

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Tuna taka muone kuwa tunawaangalia tu jinsi mnavyobebwa,ni mara nyingi sana mnabebwa hivi.
Kwa kiwango mnachobebwa kuanzia ile goal corner ,na magoli mengi tu dhidi yenu kukataliwa hadi mechi ya Kagera na leo Mwadui,Ingekuwa ni Simba ashindae"the lion conqueror " mngechonga sana.Ila kwa vile nyani haoni kundule,ndio maana mna kelele sana.

Mwadui wamenyimwa penalty mbili clear kabisa
 
Utopola wana bebwa ili wapate kombe lao kutoka laliga
IMG_20200704_084001.jpg
 
duh aisee kwenye penalty kwa kweli leo zilikuwa mbili ila Uto kama uto yaani ze utopolozi
 
Acha upumbavu wewe, wenyewe tumeacha kuangalia game zetu....!! We kama nani?
 
Tuna taka muone kuwa tunawaangalia tu jinsi mnavyobebwa,ni mara nyingi sana mnabebwa hivi.
Kwa kiwango mnachobebwa kuanzia ile goal corner ,na magoli mengi tu dhidi yenu kukataliwa hadi mechi ya Kagera na leo Mwadui,Ingekuwa ni Simba ashindae"the lion conqueror " mngechonga sana.Ila kwa vile nyani haoni kundule,ndio maana mna kelele sana.

Mwadui wamenyimwa penalty mbili clear kabisa
Kalia tako moko fc.
 
Back
Top Bottom