Yule si ni juma lukole mwanaume anachamba kama mange kimambi au diva vile.Wakiongozwa na haji manara
We kweli Makolo Ngada Pro...Inashangaza wanaume wa hii timu kumuonea gere mwanamke na wanafurahia sana kwamba amejiuzuru.
Kumbe bora umejistukia!Mambo mengi kuyaanzishia uzi ni upumbavu na wewe mwanzilishi ni mpumbavu!!.
Mwanaume unasimama nakukojoa unaleta mambo ya kipuuzi!! Kitoqo kabisa.
Tangu barbra achukue usukani alitoa kipigo kwa utopolo cha bao 4-1 nusu fainali azam cupWe kweli Makolo Ngada Pro...
Tangu Barbara aingie Ngada FC, Wananchi ni mwendo wa ku-shine...
Sasa hiyo gere ya nini wakati Makolo mlifanya vizuri zaidi kabla ya ujio wa Barbara!!
Ukiona watu wanafurahia ni kwa sababu tu kuondoka kwa CEO ni dalili ya GOGORO,
Makolo bhana...Tangu barbra achukue usukani alitoa kipigo kwa utopolo cha bao 4-1 nusu fainali azam cup
Kombe la ligi
Na kombe la azam cup fainali uto vs simba kigoma
Robo fainali 2 Club bingwa na moja shirikisho
Au ulikuwa hujazaliwa?
Tatizo lako unateswa na mafanikio ya mwanamke au wewe ni kabwili?Makolo bhana...
Haya hapo umeifunga Yanga mara ngapi? Mara 1, 2, 3, au 4?! Idadi utakayopata, jumlisha na wewe umetandikwa mara ngapi!
Turudi huko kwenye Club Bingwa na nini sijui manake inaonesha wala hujui
Hiyo Robo Fainali Club Bingwa ni mwaka upi na upi?!
Tangu aingie Barbara, Robo Fainali Club Bingwa ni mara moja TU tena mwaka ambao ndio aliingia Makolo na alikuta timu imeshaandaliwa.
Msimu uliofuata, Makolo aka Ngada FC mlitolewa hatua ya awali.
Msimu uliofuata, mkatolewa na timu dhaifu kutoka Botswana na ndo mkaingia 1/4 Shirikisho.
Msimu wake mwingine ndo huu anaowaachia timu dhohofu huku ubingwa premier na Azam Conferederation akiwa amepoteza!!
Ndio maana 0 zinakuwaga nyingi kwenye mitihani,,unaulizwa swali linaloeleweka unajibu vingine,, ebu acha kujizima data mjibu swali alilokuulizaTatizo lako unateswa na mafanikio ya mwanamke au wewe ni kabwili?
Unauliza mwaka upi na upi we mara ya mwisho tu kufika makunda CAFCL ni lini?
Mbona msimu ulishaisha tuko msimu mwingine tukienda raundi ya pili au unataka kusahaulisha kipigo cha ihefu kwenye mashamba ya mpunga?
Ila ngoja nikuache luc eymael alisha conclude uto weni na manyani mambwa mnabweka bweka hovyo
Umekimbia kule umehamia huku? Naomba copy ya mkataba wa uto na gsm kuhusu mauzo ya jezi ambao mlisaini hadharaniNdio maana 0 zinakuwaga nyingi kwenye mitihani,,unaulizwa swali linaloeleweka unajibu vingine,, ebu acha kujizima data mjibu swali alilokuuliza