Utopolo wengi wanamuonea gere Barbra CEO wa Simba na wanafurahi eti kajiuzuru

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Inashangaza wanaume wa hii timu kumuonea gere mwanamke na wanafurahia sana kwamba amejiuzuru.

Jambo ambalo si la kawaida ni pale wanapohusisha mahusiano yake ya kimapenzi na Mo ( bila shaka wamechunguza na wakagundua huenda wamekosa penzi kutoka kwa Mo kwa sababu ya Barbra)
Ni kweli nyie wanaume wa utopolo mlitaka mpewe mapenzi nyie kutoka kwa Mo?
Kwa nini wanaume mnakuwa na wivu mkali sana wa kimapenzi dhidi ya mwanamke mrembo Barbra?

JamiiForums mobile app
 
Inashangaza wanaume wa hii timu kumuonea gere mwanamke na wanafurahia sana kwamba amejiuzuru.
We kweli Makolo Ngada Pro...

Tangu Barbara aingie Ngada FC, Wananchi ni mwendo wa ku-shine...

Sasa hiyo gere ya nini wakati Makolo mlifanya vizuri zaidi kabla ya ujio wa Barbara!!

Ukiona watu wanafurahia ni kwa sababu tu kuondoka kwa CEO ni dalili ya GOGORO,
 
Wale waliokuwa wanasema waachie timu yao ndo kawaachia sasa.. na mgunda atawaachia na Mo atawaachia...
 
We kweli Makolo Ngada Pro...

Tangu Barbara aingie Ngada FC, Wananchi ni mwendo wa ku-shine...

Sasa hiyo gere ya nini wakati Makolo mlifanya vizuri zaidi kabla ya ujio wa Barbara!!

Ukiona watu wanafurahia ni kwa sababu tu kuondoka kwa CEO ni dalili ya GOGORO,
Tangu barbra achukue usukani alitoa kipigo kwa utopolo cha bao 4-1 nusu fainali azam cup
Kombe la ligi
Na kombe la azam cup fainali uto vs simba kigoma
Robo fainali 2 Club bingwa na moja shirikisho
Au ulikuwa hujazaliwa?
 
Makolo bhana...

Haya hapo umeifunga Yanga mara ngapi? Mara 1, 2, 3, au 4?! Idadi utakayopata, jumlisha na wewe umetandikwa mara ngapi!

Turudi huko kwenye Club Bingwa na nini sijui manake inaonesha wala hujui

Hiyo Robo Fainali Club Bingwa ni mwaka upi na upi?!

Tangu aingie Barbara, Robo Fainali Club Bingwa ni mara moja TU tena mwaka ambao ndio aliingia Makolo na alikuta timu imeshaandaliwa.

Msimu uliofuata, Makolo aka Ngada FC mlitolewa hatua ya awali.

Msimu uliofuata, mkatolewa na timu dhaifu kutoka Botswana na ndo mkaingia 1/4 Shirikisho.

Msimu wake mwingine ndo huu anaowaachia timu dhohofu huku ubingwa premier na Azam Conferederation akiwa amepoteza!!
 
Tatizo lako unateswa na mafanikio ya mwanamke au wewe ni kabwili?
Unauliza mwaka upi na upi we mara ya mwisho tu kufika makunda CAFCL ni lini?
Mbona msimu ulishaisha tuko msimu mwingine tukienda raundi ya pili au unataka kusahaulisha kipigo cha ihefu kwenye mashamba ya mpunga?
Ila ngoja nikuache luc eymael alisha conclude uto weni na manyani mambwa mnabweka bweka hovyo
 
Ndio maana 0 zinakuwaga nyingi kwenye mitihani,,unaulizwa swali linaloeleweka unajibu vingine,, ebu acha kujizima data mjibu swali alilokuuliza
 
Umekimbia kule umehamia huku? Naomba copy ya mkataba wa uto na gsm kuhusu mauzo ya jezi ambao mlisaini hadharani
 
Utopolo wanatamani kumwajiri BABRA kama ilivyokuwa SENZO manake ndo zao...
 
Back
Top Bottom