Utoro wa wabunge bungeni tena bunge la bajeti, tatizo ni nini?

DREAMBOY

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
2,117
Reaction score
1,369
Habari!

Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.

Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.

Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?

Am out!
 
Wanamdharau Spika
 
Si mnawasema wanakula hela nyingi za vikao, sasa wameacha kwenda kbs. 😀😀 ili mjue zile ni kidogo tu. Usikute bado wnapewa bila kujali wapo kikaoni ama laa.
Wana ruhusa ya wiki 2 kwahiyo posho ni kama kawa.
 
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Ndiyo shida ya kujaza wafanyabiashara bungeni, hao wote wapigwe chini uchaguzi ujao
 
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.

Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.

Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?

Am out!

Kwani wanaweza ku add any value?
Wanaweza kubadilisha chochote ?

Hapo si kila kitu ndioooo ?

Unaijua rubber stamp ?
 
Kwani wanaweza ku add any value?
Wanaweza kubadilisha chochote ?

Hapo si kila kitu ndioooo ?

Unaijua rubber stamp ?
Kwahyo kikao cha baraza la mawaziri ndo kinachopanga kila kitu
 
Mbona kunambi anajaribu

Ni huyo katika wangapi?

Kumbuka hilo bunge linawakilisha idadi ya watu wangapi wa nchi hii ? Milioni zaidi ya 60 ?

Na huyo Kunambi mwenyewe kaongea juzi tu point ya kueleweka, hatukuwahi kumuona akiwa consistent ktk kuchangia hoja zenye kugusa maslahi ya umma kama ambavyo walivyokuwepo wapinzanii. ?!

Issue ni Kuwa consistent na sio kuongea kama kwa kubahatisha au coincidence tu.

Aliwahi kuongelea mambo gani mengine yanayoweza kugusa maslahi ya umma?
 
Back
Top Bottom