Kwahiyo wanaendelea na shughuli zaoHAkuna pingamiz kilchopangwa ni hvyo hvyo
Eti bwana sasa wakafanye niniHAkuna pingamiz kilchopangwa ni hvyo hvyo
Wanamdharau SpikaHabari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!
Wana ruhusa ya wiki 2 kwahiyo posho ni kama kawa.Si mnawasema wanakula hela nyingi za vikao, sasa wameacha kwenda kbs. ππ ili mjue zile ni kidogo tu. Usikute bado wnapewa bila kujali wapo kikaoni ama laa.
Ndiyo shida ya kujaza wafanyabiashara bungeni, hao wote wapigwe chini uchaguzi ujaoHivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
ZINAWAFUATA HUKO HUKO WALIKO π€£ π€£ π€£Si mnawasema wanakula hela nyingi za vikao, sasa wameacha kwenda kbs. ππ ili mjue zile ni kidogo tu. Usikute bado wnapewa bila kujali wapo kikaoni ama laa.
HahahWanajiimarisha majimboni,2020 walibebwa na mbeleko ya mwenda zake.
Safari hii hapasomeki
Sasa bunge litakuwa linabakiwa na bakaaSi mnawasema wanakula hela nyingi za vikao, sasa wameacha kwenda kbs. ππ ili mjue zile ni kidogo tu. Usikute bado wnapewa bila kujali wapo kikaoni ama laa.
Habari!
Hivi hii tabia ya wabunge kutohudhuria vikao bungeni iliyokithiri, inasababishwa na nini? Huo utoro nadhani madam speaker, bunge limemshinda kabisa au wabunge wengi hawaoni umuhimu wa wao kuhudhuria bungeni yaani kifupi wamechoka au wamekifiwa na kazi ya ubunge.
Vikao vya halimashauri hawahudhurii na bungeni hawahudhurii, ila ziara za kamati na vikao vyake wanawahi.
Ukweli mimi sio mjuzi wa shughuli za bunge ila unakerwa na bajeti ya wizara kupitishwa na robo ya wabunge.
Spika na wabunge hawana cha kuishauri Serikali?
Am out!
Kwani wanaweza ku add any value?
Wanaweza kubadilisha chochote ?
Hapo si kila kitu ndioooo ?
Unaijua rubber stamp ?
Unyama sana kumbe. πWana ruhusa ya wiki 2 kwahiyo posho ni kama kawa.
Mbona kunambi anajaribuKukaa kusubiri kwa kila
Kila useme ndiooo inachosha ujue?! Imagine!
Akitokea mtu wa kuhoji anaundiwa zengwe sio mwenzetu?!
Ndo maana bunge ni tupuUnyama sana kumbe. π
Kwahyo kikao cha baraza la mawaziri ndo kinachopanga kila kituKwani wanaweza ku add any value?
Wanaweza kubadilisha chochote ?
Hapo si kila kitu ndioooo ?
Unaijua rubber stamp ?
Nadhan wengi wanawaza uwekezajiNdiyo shida ya kujaza wafanyabiashara bungeni, hao wote wapigwe chini uchaguzi ujao
Mbona kunambi anajaribu